Simba mngesajili Left Back M. Husein ameshuka kiwango

Kama unaona Tdhabalala anasababisha ukuta uvunjike basi ujue mmoja kati ya kiungo mkabaji au winga wa kushoto anashindwa kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Tshabalala.
Ni kweli analo tatizo la kuhold mpira muda mrefu hivyo kupooza mashambulizi.
Kuhusu pasi nakupinga. Naamini Tshabalala ni mcheza anayetoa pasi nzuri sana kwenye nafasi ila inatokea muhusika akawa hayupo makini.
 
Umeelezea vizuri kuliko mimi. Wote tuna matumaini hayo mapungufu yatapungua au kuisha kabisa kwa sababu ni mchezaji mzuri mwenye kujituma na ana ari ya ushindi.
 
Ni wazi una interest binafsi na huyu mchezaji.
 
Tshabalala hajashuka kiwango, anafanya mistakes kadhaa yes ila kushuka kiwango no sio kweli.
Still sijaona Namba tatu kama yeye sio bongo tu hata kwa Nchi zenye hadhi kama yetu ( ukiwaondoa waarabu na baadhi ya team south).
Control- Utakubaliana na mimi ndio mchezaji mwenye ball control kubwa bongo hii.
Attack and defending ratio, Uwiano wake wa kushambulia na kuzuia ni mzuri mno. Team inapobidi kuzuia atazuia, akihitajika kudrive team kushambulia atafanya hivyo.

Experience, Huwezi kupata mchezaji mwenye experience kama yake chini ya Billions of money ( Bongo hayupo )

Ni vile tumemzoea tunaona kawaida tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…