Simba mpeni Mwaikimba mkataba hata wa miezi sita

NguoYaSikuKuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
681
Reaction score
1,020
Kwanza na'declare interest mimi ni shabiki wa Simba kindakindaki!

Nirudi kaika mada juu..Nimemtazama jama (Mwaikimba) katika mechi kama sita hivi za karibuni. Amebadilika sana! Hakosi magoli ya kizembezembe hivi. Pace yake imeimarika sana. Anafunga sana.




Umakini umebadilika, labda ni kwa kuwa kapata utulivu wa football psychology.

SIMBA MKIMPA MKATABA WA MIEZI SITA WA KUMPIMA HAMAJUTIA!
 
Umemuangalia wapi??? Mbona kuna team nyingi sio lazima Simba maana Kama unataka kizuri kutoka kwa mwai basi not at his age.
 
Umemuangalia wapi??? Mbona kuna team nyingi sio lazima Simba maana Kama unataka kizuri kutoka kwa mwai basi not at his age.
Kagere ana umri gani mkuu? Wachezaji wangapi simba ni over 30+ ?? Thanks for your views lakini mkuu.
 
Jina lake ni mwaikimba so ukitaka kufupisha ni Mwai au KIMBA
mfano ikiwa jina lako ni MWAJUMA TUNAWEZA KUKUITA MWA AU JUMA
 
Aje kukaa benchi au wapi sasa simba anayesajili wachazaji no kidevu na sio kiongozi kama zamani Hugo labda aende yanga maana naona atacheza kikosi cha kwanza huku Luna chama, okwi ,kagete, bocco, wawa ,mkude , sion atacheza WAP haya bench huyupo kama kakutuma mwambie akauze maembe
 

Mkuu mimi ni skauti wa mpira. Macho yangu hayajawahi kufeli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…