NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 681
- 1,020
Kwanza na'declare interest mimi ni shabiki wa Simba kindakindaki!
Nirudi kaika mada juu..Nimemtazama jama (Mwaikimba) katika mechi kama sita hivi za karibuni. Amebadilika sana! Hakosi magoli ya kizembezembe hivi. Pace yake imeimarika sana. Anafunga sana.
Umakini umebadilika, labda ni kwa kuwa kapata utulivu wa football psychology.
SIMBA MKIMPA MKATABA WA MIEZI SITA WA KUMPIMA HAMAJUTIA!