Mfano match ya FaUko sahihi, za nyumbani atacheza nyingi tu, Lwanga na baadhi ya wachezaji inabidi kocha awalinde sana towards mechi za kimataifa.
Ila ikija tokea akaanza na Lwanga mechi yoyote ile, Mzamiru nafasi yake itakua matatani kwenye machaguo ya kocha.
Ni kweli hana nidhamu, na ana mapungufu kadhaa ambayo ata Thadeo lwanga anaweza kuwa nayo, kama mchezajiMkude ..sikuwahi kuona umuhimu wake .na sijui kwa nini makocha waliopita walikuwa wanamtumia...ni mchezaji wa kawaida mwenye makosa mengi ya kuigharimu timu..
Uko sahihi, binafsi natamani siku waanze pamoja tuoneUko sahihi, za nyumbani atacheza nyingi tu, Lwanga na baadhi ya wachezaji inabidi kocha awalinde sana towards mechi za kimataifa.
Ila ikija tokea akaanza na Lwanga mechi yoyote ile, Mzamiru nafasi yake itakua matatani kwenye machaguo ya kocha.
Lwanga kila mahali yupo na anakaba hatari hata km upo mbele yake mpira hupigi atauwahi na kuutoa nje.Jamaa lina mapafu niko kijijini sijabahatika kuangalia mpira ila kila mtangazaji anavyotangaza umeenda mpira na huyo jamaa yupo.
Kuna watu walianza kumbeza hata kabla hajavaa soksi na kuanza kuitumikia SimbaKuna kitu wachezaji wetu wajifunze kutoka kwa Lwanga uwezo wa kukaba vzr kupiga pasi na zikafika mpira ulipo na yy yupo anafanya simba itulie mno ni moja kati ya sajili bora simba iliifanya
Acha uongo wa Gizani mkuu..Mkude ..sikuwahi kuona umuhimu wake .na sijui kwa nini makocha waliopita walikuwa wanamtumia...ni mchezaji wa kawaida mwenye makosa mengi ya kuigharimu timu..
Mkude kwa Lwanga atachezea benchi!!Mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba binafsi toka huyu jamaa awe nje ya uwanja pengo lake linaoneka na hata baada ya kusajili Thadey Lwanga. Namshauri kocha wangu wa simba amrejeshe dimbani shujaa wetu jonas mwana mkude.
Naomba kuwasilisha
Alimfanya nini CEO?Akili inaniambia CEO ana mkono wake kwa Hilo tukio ,so mkude ajiandae tu kisaikolojia ,yaan unaumizwa pole pole had siku ataamua kuondoka mwenyew kwa hiar yake ,pamoja na Hilo mkude kwa sasa hana no pale Simba
Uko sahihi mkuu harafu hawa wachezaji wanaotokea Kenya na Uganda wanajituma sana.Lwanga kila mahali yupo na anakaba hatari hata km upo mbele yake mpira hupigi atauwahi na kuutoa nje.
Mkude mwache apige mineri siku hizi mpira ajira
Sent from my itel A12 using JamiiForums mobile app
Mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba binafsi toka huyu jamaa awe nje ya uwanja pengo lake linaoneka na hata baada ya kusajili Thadey Lwanga. Namshauri kocha wangu wa simba amrejeshe dimbani shujaa wetu jonas mwana mkude.
Naomba kuwasilisha