Simba mrejesheni dimbani Jonas Mkude

Simba mrejesheni dimbani Jonas Mkude

Uko sahihi, za nyumbani atacheza nyingi tu, Lwanga na baadhi ya wachezaji inabidi kocha awalinde sana towards mechi za kimataifa.
Ila ikija tokea akaanza na Lwanga mechi yoyote ile, Mzamiru nafasi yake itakua matatani kwenye machaguo ya kocha.
Mfano match ya Fa
Manula
Onyango
Kapombe
Mikson
Balala
Hata chama
Wangepumzishwa..
Labda saaana waingie sub
 
Mkude ..sikuwahi kuona umuhimu wake .na sijui kwa nini makocha waliopita walikuwa wanamtumia...ni mchezaji wa kawaida mwenye makosa mengi ya kuigharimu timu..
Ni kweli hana nidhamu, na ana mapungufu kadhaa ambayo ata Thadeo lwanga anaweza kuwa nayo, kama mchezaji

Ila kusema hajawai kuwa na umuhimu ni kumkosea mkuu
 
Uko sahihi, za nyumbani atacheza nyingi tu, Lwanga na baadhi ya wachezaji inabidi kocha awalinde sana towards mechi za kimataifa.
Ila ikija tokea akaanza na Lwanga mechi yoyote ile, Mzamiru nafasi yake itakua matatani kwenye machaguo ya kocha.
Uko sahihi, binafsi natamani siku waanze pamoja tuone
 
Jamaa lina mapafu niko kijijini sijabahatika kuangalia mpira ila kila mtangazaji anavyotangaza umeenda mpira na huyo jamaa yupo.
Lwanga kila mahali yupo na anakaba hatari hata km upo mbele yake mpira hupigi atauwahi na kuutoa nje.
Mkude mwache apige mineri siku hizi mpira ajira

Sent from my itel A12 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kitu wachezaji wetu wajifunze kutoka kwa Lwanga uwezo wa kukaba vzr kupiga pasi na zikafika mpira ulipo na yy yupo anafanya simba itulie mno ni moja kati ya sajili bora simba iliifanya
Kuna watu walianza kumbeza hata kabla hajavaa soksi na kuanza kuitumikia Simba
 
Mkude ..sikuwahi kuona umuhimu wake .na sijui kwa nini makocha waliopita walikuwa wanamtumia...ni mchezaji wa kawaida mwenye makosa mengi ya kuigharimu timu..
Acha uongo wa Gizani mkuu..

Mkude yupo Simba miaka zaidi ya 10... Mafanikio yote ya SIMBA kwa miaka hiyo amehusika kama kiungo mkabaji.

Wewe unajua mpira kuliko makocha wote waliopita hapo na wakamtumia?
 
Akili inaniambia CEO ana mkono wake kwa Hilo tukio ,so mkude ajiandae tu kisaikolojia ,yaan unaumizwa pole pole had siku ataamua kuondoka mwenyew kwa hiar yake ,pamoja na Hilo mkude kwa sasa hana no pale Simba
 
Mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba binafsi toka huyu jamaa awe nje ya uwanja pengo lake linaoneka na hata baada ya kusajili Thadey Lwanga. Namshauri kocha wangu wa simba amrejeshe dimbani shujaa wetu jonas mwana mkude.

Naomba kuwasilisha
Mkude kwa Lwanga atachezea benchi!!
 
Akili inaniambia CEO ana mkono wake kwa Hilo tukio ,so mkude ajiandae tu kisaikolojia ,yaan unaumizwa pole pole had siku ataamua kuondoka mwenyew kwa hiar yake ,pamoja na Hilo mkude kwa sasa hana no pale Simba
Alimfanya nini CEO?
 
Visit kidimbwi, wewe ni uto

Mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba binafsi toka huyu jamaa awe nje ya uwanja pengo lake linaoneka na hata baada ya kusajili Thadey Lwanga. Namshauri kocha wangu wa simba amrejeshe dimbani shujaa wetu jonas mwana mkude.

Naomba kuwasilisha
 
Mkude ..sikuwahi kuona umuhimu wake .na sijui kwa nini makocha waliopita walikuwa wanamtumia...ni mchezaji wa kawaida mwenye makosa mengi ya kuigharimu timu..
Itakuwa umeanza kuifutilia simba jana na al ahaly
 
Back
Top Bottom