Mkude ameomba radhi naomba tumsamehe mtoto wetuNidhamu kwenye kazi yako ni jambo la kwanza kabisaa ili kuendelea kufanya vizuri.
Wachezaji wa kibongo ni bangi zinawaharbu..ila kwa sasa watajifunza tuu kuwa na nidhamu..mana wachezaji wa nje wanareplace nafasi zao..
Hujui football my brother better jikalie kimyaaa tu.Mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba binafsi toka huyu jamaa awe nje ya uwanja pengo lake linaoneka na hata baada ya kusajili Thadey Lwanga. Namshauri kocha wangu wa simba amrejeshe dimbani shujaa wetu jonas mwana mkude.
Naomba kuwasilisha
Utulivu ndani ya dimba lake cheif
Soma uelewe sio unatoa maoni kwa kuchukua sentensi mojaMkuuu huu ni mpira mambo ya mitishawamba wap na wap? Bas nawew karoge uende simba.
Nimeamini wewe ni utopolo unayejivika uana msimbaziMkude ni fundi zaid
ππππππAangalie video za Fraga na Lwanga aanze kujifunza toka kwao inaweza kumsaidia
Unachosema hapa na ulichoandika ni tofauti. Mkude mchukue wewe ukacheze naye. Ungekuwa simba ungesema tu arudi but kuonesha wewe utopolo unadai kuna pengo. Una beef na Lwanga? Au wivu?au wewe ndo Mkude mwenyewe?Mkuu mimi ni simba kindandaki sijawahi kuipenda utopolo