Simba mrejesheni dimbani Jonas Mkude

Simba mrejesheni dimbani Jonas Mkude

Kuna kitu wachezaji wetu wajifunze kutoka kwa Lwanga uwezo wa kukaba vzr kupiga pasi na zikafika mpira ulipo na yy yupo anafanya simba itulie mno ni moja kati ya sajili bora simba iliifanya
Yes nakubali ila mkude fundi mkuuu
 
Nidhamu kwenye kazi yako ni jambo la kwanza kabisaa ili kuendelea kufanya vizuri.
Wachezaji wa kibongo ni bangi zinawaharbu..ila kwa sasa watajifunza tuu kuwa na nidhamu..mana wachezaji wa nje wanareplace nafasi zao..
Mkude ameomba radhi naomba tumsamehe mtoto wetu
 
Yeah tusisahau kilichotuvusha baada ya kuvuka namaanisha wakiwepo wote wawili lwanga na mkude mbna mambo yatazidi kuwa mazuri
 
Mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba binafsi toka huyu jamaa awe nje ya uwanja pengo lake linaoneka na hata baada ya kusajili Thadey Lwanga. Namshauri kocha wangu wa simba amrejeshe dimbani shujaa wetu jonas mwana mkude.

Naomba kuwasilisha
Hujui football my brother better jikalie kimyaaa tu.

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom