Simba mrejesheni dimbani Jonas Mkude

Una harufu ya utopolo, lengo lako ni kuchonganisha na kuleta taharuki, lakini umeshindwa!! Uto huwezi kutupangia timu!! Wachezaji wote ni wa Simba na yeyote anaweza kupangwa na kocha!!
Wee umeanza kushangalia simbaa hii ya kina bocco kijanaa haya maji ni marefu kwako kaa kimya uufiche ujinga wako
 
Pengo lipi labda unalozungumzia? Lwanga amechezay mechi 5 halaf clean sheets 4. Unataka nini labda
Shida yangu ni ombwe kubwa (gap) lililopo kati ya kiungo mnyambulifu jonas mkude na lwanga
 
Nenda kawashauri utopolo wenzio achana simba!! Simba hatuna uchonganishi kwa wachezaji!! Una fiston , una sarpong, una farid, una nchimbi , emu katoe maoni waanze kufunga
Kijana kaa kimya ufiche ujinga wako
 
Anawapiga wenzake misumari sasa kwa Mganda kafeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…