AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
Ndio mpila sijui Ila Najua mpira brohujui mpila ww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mpila sijui Ila Najua mpira brohujui mpila ww
ok, n vzuri🚶🚶🚶Ndio mpila sijui Ila Najua mpira bro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio mpila sijui Ila Najua mpira bro
Naye ndio mara nyingi anaongoza kwa pass accuracy. Hata mechi ya Jana pamoja na kutoka nje kwa kuumia lakini hakuna aliyempita akiwa na 94%Hajui Thadeo Langwa alivyoziba pengo la mkude hadi kupitiliza ,jamaa anakaba balaa akiwepo unakuwa na uhakika
Mwanayanga mwenzangu lini umehamia Simba? Ninyi mnakuwa vigeu geu hamna mapenzi ya dhati kwa YangaMimi ni shabiki kindakindaki wa Simba binafsi toka huyu jamaa awe nje ya uwanja pengo lake linaoneka na hata baada ya kusajili Thadey Lwanga. Namshauri kocha wangu wa simba amrejeshe dimbani shujaa wetu jonas mwana mkude.
Naomba kuwasilisha
Nawe alikuomba? Mnaambiana 😂😂😂😂😂😂tatizo lake kamuomba bvarbrv "O"
Nidhamu kwenye kazi yako ni jambo la kwanza kabisaa ili kuendelea kufanya vizuri.Mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba binafsi toka huyu jamaa awe nje ya uwanja pengo lake linaoneka na hata baada ya kusajili Thadey Lwanga. Namshauri kocha wangu wa simba amrejeshe dimbani shujaa wetu jonas mwana mkude.
Naomba kuwasilisha
Kwa Eng Thadeo Lwanga mkude anatakiwa afanye kazi ya ziadaHajui Thadeo Langwa alivyoziba pengo la mkude hadi kupitiliza ,jamaa anakaba balaa akiwepo unakuwa na Uhakika
Silaha yake pekee ni miti shamba vinginevyo akubali yaisheKwa Eng Thadeo Lwanga mkude anatakiwa afanye kazi ya ziada
Anaweza kupambana akarejesha makali yake kwasababu kila jambo linawezekana, muhimu ni awekeze kwenye nidhamu ya kila kitu.Silaha yake pekee ni miti shamba vinginevyo akubali yaishe
Aangalie video za Fraga na Lwanga aanze kujifunza toka kwao inaweza kumsaidiaAnaweza kupambana akarejesha makali yake kwasababu kila jambo linawezekana, muhimu ni awekeze kwenye nidhamu ya kila kitu.
Ni Fundi ndio! Lakini atacheza wapi pale kiungo, maana inaonekana Mzamiru na Lwanga wanafanya kazi nzuri.Ni kweli wamrudishe fundi , kwa kipindi alichotumikia adhabu atakuwa ameshajirekebisha!
Hizi match za nyumbani wanaweza mpanga mkudeNi Fundi ndio! Lakini atacheza wapi pale kiungo, maana inaonekana Mzamiru na Lwanga wanafanya kazi nzuri.
Hawa wageni wanajituma saanaAangalie video za Fraga na Lwanga aanze kujifunza toka kwao inaweza kumsaidia
Uko sahihi, za nyumbani atacheza nyingi tu, Lwanga na baadhi ya wachezaji inabidi kocha awalinde sana towards mechi za kimataifa.Hizi match za nyumbani wanaweza mpanga mkude
Lwanga aingie kipindi cha pili mwishoni
A reserve energy ya sudani.
Asije Umia tena