Simba mrejesheni Okwi

Simba mrejesheni Okwi

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
14,804
Reaction score
10,715
Inavyoelekea huko majuu hali imemuwia ugumu. Mpaka sasa zimechezwa mechi zaidi ya kumi na Okwi amejumuishwa mara mbili tu kikosini. Mara ya kwanza aliingilia kama mchezaji wa akiba akicheza kwa dakika tatu tu. Mara ya pili alijumuishwa kama mchezaji wa akiba asiingie kabisa uwanjani. Tangu hapo hata benchi hakai. Naomba sisi wadau wa mikia tuwashinikize uongozi wamrejeshe kundini ili aifunge Yanga.
 
Kumrejesha maana yake waende wakamnunue. Hiyo sio sera ya mikia. Sera yao ni kuuza wachezaji wazuri walionao. Usawa huu, Azam na Yanga wanaangalia nani wa kumchukua mwakani!
 
Back
Top Bottom