kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Wachambuzi wetu ni wadau muhimu kwenye mpira wetu, lakini Kuna wakati hawautendei haki mpira wenyewe kwasababu zisizojulikana au ushabiki wa timu.
Simba Day umati wa mashabiki ulifurika uwanja wa Mkapa kuiona timu yao. Hii ilisababisha kocha wa Simba acheze mechi ya ushindani zaidi (must win) badala ya kujaribu na kuonyesha wachezaji wapya kwa mashaki wao, haikuwa mechi ya preseason bali mechi ya kutafuta ushindi.
Kocha alipanga kikosi chake kabambe kwenye mechi ile na hakufanya rotation ya wachezaji. Hii ni tofauti na power Dynamo ambayo wao walikuwa Wana test mitambo ya system zao kama zinafanya kazi namna gani.
Hivyo matokeo ya mechi Ile hayawezi kuwa kipomo Bora cha udhaifu na ubora power Dynamo na Simba. Wachambuzi wetu walipaswa kulisema hili kwa Simba ili waongoze juhudi kwenye maandalizi yao, lakini wachambuzi wetu walikuwa wanazichambua Simba na Dynamo kwa kuzingatia matokeo ya mechi Ile.
Lolote linaweza kutokea kule ndola Leo, stay tuned.