Simba msijidanganye

Simba msijidanganye

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Toka jana kumekuwa na Mjadala mzito sana kuhusiana na Bil. 20 ambazo MO alitakiwa awe amezitoa tokana na kuchukua 49% ya hisa za Simba lakini hili Jambo SIASA imetawalaa kuliko uhalisiaa na ndo hapo nasema "Maskini Akipata Matacco mbwata" sasa wana simba wamejisahau sana na kuona mambo ni mteremko tu kuwa Club inaenda wachezaji wanalipwa...wanakula vizuri jambo inalopeleka Kufanya vizuri sana ubaya wengi wanadhani Pesa inayotokana na mapato ya Club inaweza kufanya Hayaa.

Nasema kwa mpira wa Bongo pesa inayopatikana Haiweza hata Kulisha wachezaji wa Simba hata kulipa Robo ya mishahara yao YANGA wanatembeza Bakuli sio wanapenda lakini kuondoka kwa Manji kumekuwa pigo kubwa sana na ndo kitakachotokea Simba. Kuteuliwa CEO mpya kumeibua mambo kibao wengine wakidai mchakato haukuwa sahihi ndo nauliza Senzo mchakato wake ulikuwaje????

Mwisho wa siku Siasa muachieni Kigwangala na tambo zake za kutaka maelezo akati hata hela ya Pikipiki 25 hana anataka kumkopa MO shame shame. MO anafanya analoweza ili club ya Simba iendee na pia yeye ni mfanya biashara kudhani atatoa Bil 20 aweke kwenye Acc ya timu akitegemea itarudi kwa Uchumi wa soka la bongo nasema haitarudi hata Robo ya hela na hakuna mwendawazimu anaweza.

fanya huo utumbo.

IMG_20200906_044737.jpeg
 
kuna watu wanasema zile fremu za pale msimbazi ZINAWEZA kuendesha timu ya simba kwa msimu mzima[emoji3][emoji3][emoji3]..
Ni sawa na kusubiri fedha za urithi ili usomeshee wanao.
KUOMBA OMBA SIO KUZURI.
hayo mambo ya bakuli wanayaweza yanga peke yao.
 
Simba ni wahanga wa kupigika...miaka mitano bila kombe la ligi ni very good experience...Tunamuangalia tu muheshimiwa Waziri na wapiga kelele wengine kisha tunawaacha wanen'geneke.
Kwani hatutakubali kurudi tena Misri wakati tunakaribia Kaanani nchi ya ahadi
SIMBA NGUVU MOJA
 
Bora Mo aendelee kuwepo Simba hata asipoweka hizo billion 20, sisi tunahitaji Zaidi Simba ipige hatua na kufika mbali kimataifa!

Shida Ni kwamba zikiwekwa hizo b20 ndo mwanzo wa vurugu Simba viongozi watatafuta kila namna ya kula hizo pesa.

Tangu Mo aingie, sisi mabingwa ×3, ngao ya jamii× 3, na FA kajenga uwanja mzuri wa mazoezi. Kimataifa tumeweza kufika robo fainali ya CAF CL.
Mpira Ni pesa, akijitoa hamtawaona tena akina Chama, Luis Miquissone n.k

Mo juu Zaidi!
 
Toka jana kumekuwa na Mjadala mzito sana kuhusiana na Bil. 20 ambazo MO alitakiwa awe amezitoa tokana na kuchukua 49% ya hisa za Simba lakini hili Jambo SIASA imetawalaa kuliko uhalisiaa na ndo hapo nasema "Maskini Akipata Matacco mbwata" sasa wana simba wamejisahau sana na kuona mambo ni mteremko tu kuwa Club inaenda wachezaji wanalipwa...wanakula vizuri jambo inalopeleka Kufanya vizuri sana ubaya wengi wanadhani Pesa inayotokana na mapato ya Club inaweza kufanya Hayaa.

Nasema kwa mpira wa Bongo pesa inayopatikana Haiweza hata Kulisha wachezaji wa Simba hata kulipa Robo ya mishahara yao YANGA wanatembeza Bakuli sio wanapenda lakini kuondoka kwa Manji kumekuwa pigo kubwa sana na ndo kitakachotokea Simba. Kuteuliwa CEO mpya kumeibua mambo kibao wengine wakidai mchakato haukuwa sahihi ndo nauliza Senzo mchakato wake ulikuwaje????

Mwisho wa siku Siasa muachieni Kigwangala na tambo zake za kutaka maelezo akati hata hela ya Pikipiki 25 hana anataka kumkopa MO shame shame. MO anafanya analoweza ili club ya Simba iendee na pia yeye ni mfanya biashara kudhani atatoa Bil 20 aweke kwenye Acc ya timu akitegemea itarudi kwa Uchumi wa soka la bongo nasema haitarudi hata Robo ya hela na hakuna mwendawazimu anaweza.

fanya huo utumbo.

Kama hujui jambo lilivyo usilete pumba zako.Kigwangala ana hoja za msingi lakini km ubongo wako ni low kiasi hiki hukua na haja ya kuandika chochote, ungeshona bakuli lako.
Kwanza Mo ni mfanyabiashara,bepari,hakuna bepari anaewekeza mtaji wake bila matarajio ya faida tena faida kubwa.Mo hayuko Simba kwa hisani na wala Simba SC hatuhitaji fadhila kuendesha timu.
Tatu,km anaweza kutoa bilioni 3 kila mwaka anashindwa nini kutoa b20 anazodaiwa za hisa zake.Hizi bilion 3 anakuja kujilipaje au ndio janjajanja ya kutaka kusema badae nmetumia hela zangu nyingi so Simba SC hainidai.
Tatu,inawwzekan baadae Mo Aka sema niliikopesha Simba ,pale ambapo atatumia hela zake zikafikia kwa mfano zaidi ya bilioni 20 .Kwasababu mpaka sasa hivi haieleweki Mo anatoa hela za mishahara na gharama nyingine za kuendesha klabu kwa nakubaliana au mkataba gani.
Mo aweke hela zetu mezani ndio mambo mengine yaendelee kama kweli ni mwekezaji siriaz.
 
Badala ya kulia lia humu jukwaani, hebu mtuambie enyi mbumbumbu fc! Mnataka tuwasaidie nini hasa! Tuwarudishie Senzo ili mambo yenu yakae sawa? Kwani kabla ya huyo Moo wenu mnayemtukuza na kumlamba miguu, Simba haikuwepo?

Kwa nini iwe nongwa kwa yeyote anayehoji hizo bilioni 20 alizoahidi huyo Moo wenu? Kwani akiziweka mezani tatizo liko wapi? Au mkataba wake na klabu yenu unasemaje?
 
Na
Bora Mo aendelee kuwepo Simba hata asipoweka hizo billion 20, sisi tunahitaji Zaidi Simba ipige hatua na kufika mbali kimataifa!

Shida Ni kwamba zikiwekwa hizo b20 ndo mwanzo wa vurugu Simba viongozi watatafuta kila namna ya kula hizo pesa.

Tangu Mo aingie, sisi mabingwa ×3, ngao ya jamii× 3, na FA. Kimataifa tumeweza kufika robo fainali ya CAF CL.
Mpira Ni pesa, akijitoa hamtawaona tena akina Chama, Luis Miquissone n.k

Mo juu Zaidi!
Uko tayari siku ikifika akisema Simba SC ni mali yangu ,nawadai coz nilitumia hela zangu kuendesha klabu.
Tz hatuendelei hatusongi mbele kwa sababu ya akili hizi za BORA LIENDE.
Watz wengi si watu wa kufuata misingi,taratibu ,sheria.
Lazima Simba isonge mbele kwa misingi ya kisheria tuliyokubaliana.
 
Kama hujui jambo lilivyo usilete pumba zako.Kigwangala ana hoja za msingi lakini km ubongo wako ni low kiasi hiki hukua na haja ya kuandika chochote, ungeshona bakuli lako.
Kwanza Mo ni mfanyabiashara,bepari,hakuna bepari anaewekeza mtaji wake bila matarajio ya faida tena faida kubwa.Mo hayuko Simba kwa hisani na wala Simba SC hatuhitaji fadhila kuendesha timu.
Tatu,km anaweza kutoa bilioni 3 kila mwaka anashindwa nini kutoa b20 anazodaiwa za hisa zake.Hizi bilion 3 anakuja kujilipaje au ndio janjajanja ya kutaka kusema badae nmetumia hela zangu nyingi so Simba SC hainidai.
Tatu,inawwzekan baadae Mo Aka sema niliikopesha Simba ,pale ambapo atatumia hela zake zikafikia kwa mfano zaidi ya bilioni 20 .Kwasababu mpaka sasa hivi haieleweki Mo anatoa hela za mishahara na gharama nyingine za kuendesha klabu kwa nakubaliana au mkataba gani.
Mo aweke hela zetu mezani ndio mambo mengine yaendelee kama kweli ni mwekezaji siriaz.
Sasa akiweka Bil 20 zitarudi kwa kuzitapika nyie wanachama au?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama mkataba unasema aweke b20 baada ya mchakato wa mabadiliko kukamilika basi me Naona hakuna tatizo.
Vinginevyo wanachama wana haki ya kudai kujua hizo anazotoa b3 kila mwaka ni kwa mapenzi yake au atazidai baadaye hapo ndo mtajua kuwa nyie ni mbumbumbu fc maana mtajikuta mnadaiwa zaidi ya b20
 
Na

Uko tayari siku ikifika akisema Simba SC ni mali yangu ,nawadai coz nilitumia hela zangu kuendesha klabu.
Tz hatuendelei hatusongi mbele kwa sababu ya akili hizi za BORA LIENDE.
Watz wengi si watu wa kufuata misingi,taratibu ,sheria.
Lazima Simba isonge mbele kwa misingi ya kisheria tuliyokubaliana.
Hizo Sheria zenu za ajabu ndiyo zinaleta njaa na mabakuli, dunia ya Sasa Mpira Ni ajira za watu hawapo kuwafanya ninyi mkenue meno huku familia zao zikitaabika,

Soka la Sasa linataka pesa za uhakika na siyo kuleta Mambo ya ushirika ( umiliki wa umma), akitoka Mo akina Kagere hawatakuwepo Tena, jina la Simba litabaki ila itakuwa Simba asiye Kama alivyo Sasa!

Toeni ujuaji wa kijinga na visheria vya ajabu, Mimi nahitaji burudani na siyo kuimiliki Simba SC, hata angechuku hisa zote Mo ilimradi tu Simba Ina paa kimichezo kwangu si tatizo.
 
Mkuu Naona bado unaishi enzi za kina chifu Mangungo wa Msovero.
Watu kama nyie mngekuwepo wengi enzi za ukoloni kwa akili hizi Tanganyika isingepata Uhuru maana siyo kwa mawazo ya kitumwa uliyonayo haki inaweza kupatikana.
 
Sasa akisema hivyo wewe nini kinakuwasha?Au ninyi ndio mnaushi kwa mapato ya Simba?

Leo watu wanashabikia Manchester na hawajui inamikikiwa na nani!
Kama huwezi endesha timu unadai nini kutoka timu hiyo?Au unataka ufe nayo na umaskini wako wa mali na akili ukidhani ndio ushujaa?
Na

Uko tayari siku ikifika akisema Simba SC ni mali yangu ,nawadai coz nilitumia hela zangu kuendesha klabu.
Tz hatuendelei hatusongi mbele kwa sababu ya akili hizi za BORA LIENDE.
Watz wengi si watu wa kufuata misingi,taratibu ,sheria.
Lazima Simba isonge mbele kwa misingi ya kisheria tuliyokubaliana.
 
Mkuu Naona bado unaishi enzi za kina chifu Mangungo wa Msovero.
Watu kama nyie mngekuwepo wengi enzi za ukoloni kwa akili hizi Tanganyika isingepata Uhuru maana siyo kwa mawazo ya kitumwa uliyonayo haki inaweza kupatikana.
Naona Avatar yenyewe inajieleza kuwa wewe Ni utopolo Fc, nyamaza
EhVIluTXgAEXGsv.jpg
 
Hivi unahoji vipi 49% ya Mo wakati timu inapata mahitaji yote ,inafanya usajili,inachukua makombe ,imejenga viwanja vya mazoezi,wachezaji wanalipwa on time hamna malalamiko .

Utahoji vipi 49% maendeleo ya timu inaonekana ,kabla ya kuhoji 49% ni heri kujiuliza yeye akiweka 20 bil je wale wenye hisa 51% wanaweka na mzigo wao wote kuboresha timu ?
 
Sasa akiweka Bil 20 zitarudi kwa kuzitapika nyie wanachama au?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu, km huna taarifa usiongee.Sasa kama hata hujui hizo bilioni 20 ni za nini ,kwanini usikae tu kimya.
 
Back
Top Bottom