rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Toka jana kumekuwa na Mjadala mzito sana kuhusiana na Bil. 20 ambazo MO alitakiwa awe amezitoa tokana na kuchukua 49% ya hisa za Simba lakini hili Jambo SIASA imetawalaa kuliko uhalisiaa na ndo hapo nasema "Maskini Akipata Matacco mbwata" sasa wana simba wamejisahau sana na kuona mambo ni mteremko tu kuwa Club inaenda wachezaji wanalipwa...wanakula vizuri jambo inalopeleka Kufanya vizuri sana ubaya wengi wanadhani Pesa inayotokana na mapato ya Club inaweza kufanya Hayaa.
Nasema kwa mpira wa Bongo pesa inayopatikana Haiweza hata Kulisha wachezaji wa Simba hata kulipa Robo ya mishahara yao YANGA wanatembeza Bakuli sio wanapenda lakini kuondoka kwa Manji kumekuwa pigo kubwa sana na ndo kitakachotokea Simba. Kuteuliwa CEO mpya kumeibua mambo kibao wengine wakidai mchakato haukuwa sahihi ndo nauliza Senzo mchakato wake ulikuwaje????
Mwisho wa siku Siasa muachieni Kigwangala na tambo zake za kutaka maelezo akati hata hela ya Pikipiki 25 hana anataka kumkopa MO shame shame. MO anafanya analoweza ili club ya Simba iendee na pia yeye ni mfanya biashara kudhani atatoa Bil 20 aweke kwenye Acc ya timu akitegemea itarudi kwa Uchumi wa soka la bongo nasema haitarudi hata Robo ya hela na hakuna mwendawazimu anaweza.
fanya huo utumbo.