Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Nimeona baada ya mechi kuisha mashabiki wa simba wakijifagilia kumfunga whydad kwa mkapa kana kwamba wao ndio timu ya kwanza kumfunga, Ni kawaida ya watanzania kusifia vitu vidogo vidogo pindi wanapokosa hoja ama wanapoona mambo ni magumu kiuhalisia, Kujifariji sio vibaya na kujipa moyo pia lakini isiwe too much,,,
Mtu ambaye ni mfatiliaji mzuri wa mpira na ambae amewafatilia vizuri awa Whydad kwenye mechi zote za ugenini walizocheza atakubaliana na mimi kuwa uwa ni timu inayocheza kwa malengo na umakini mkubwa, ugenini uwa awafunguki uwa wanacheza kwa tempo ya chini sana lakini kwa tahadhari kubwa, uwa awataki uwafunge zaidi ya goli moja endapo utawabahatisha wakijua moja kwa moja ukiwafata kwao wanamalizia walichokipanga,
Whydad awa wamefungwa na rivers goli 2-1 pale nigeria wakiwa na plan yao ile ile ya kucheza taratibu na kupoteza muda but Rivers alikwenda Morocco akachezea goli 6 kwa mtungi, wanakupush kwa nguvu kuakikisha ndani ya dk 20 za mwanzo uwe usharuhusu goli na apo ndio wanaanza kukusaka wanavyotaka, Tumeona mpira umekwisha wakaanza kupongezana wanajua wanachokifanya, Mechi ya leo licha ya simba kuroga kwa kila namna lakini wameambulia kigoli kimoja tu ambacho ndio icho wanajifariji nacho na kuonyesha aijawai kutokea jambo kama ilo🤔🤔🤔 Wenye akili timamu wanapiga hesabu za kuvuka hatua inayofata wengine wanaweka sherehe ya kumfunga mwarabu nyumbani goli moja iyo ndio tofauti ya wao na sisi, Mwenye akili timamu nafikiri atakuwa amenielewa,
Mwisho wa siku anayefanikiwa ni yule aliyevuka, na goli lako linakuwa halina maana yoyote, Wenzetu wanacheza kwa malengo na awachezi kufurahisha genge la mashabiki kwenye jambo ambalo wanaona aliwezi kuwafikisha popote, Kwa maana iyo simba ata angeshinda goli 2 bado alikuwa anakwenda kuondoshwa kule moroco, Ata kama wangebeba waganga wao wote wakaenda nao isingesaidia kitu,
Nawakumbusha tena kumfunga Whydad sio jambo geni, wamefungwa pia na rivers goli 2 pale nigeria ivyo mtafute kitu kingine cha kujifariji na sio icho, povu ruksa!!!!