Simba msijifiche kwenye kichaka cha kumfunga Whydad kwa Mkapa

Nimeona baada ya mechi kuisha mashabiki wa simba wakijifagilia kumfunga whydad kwa mkapa kana kwamba wao ndio timu ya kwanza kumfunga, Ni kawaida ya watanzania kusifia vitu vidogo vidogo pindi wanapokosa hoja ama wanapoona mambo ni magumu kiuhalisia, Kujifariji sio vibaya na kujipa moyo pia lakini isiwe too much,,,

Mtu ambaye ni mfatiliaji mzuri wa mpira na ambae amewafatilia vizuri awa Whydad kwenye mechi zote za ugenini walizocheza atakubaliana na mimi kuwa uwa ni timu inayocheza kwa malengo na umakini mkubwa, ugenini uwa awafunguki uwa wanacheza kwa tempo ya chini sana lakini kwa tahadhari kubwa, uwa awataki uwafunge zaidi ya goli moja endapo utawabahatisha wakijua moja kwa moja ukiwafata kwao wanamalizia walichokipanga,

Whydad awa wamefungwa na rivers goli 2-1 pale nigeria wakiwa na plan yao ile ile ya kucheza taratibu na kupoteza muda but Rivers alikwenda Morocco akachezea goli 6 kwa mtungi, wanakupush kwa nguvu kuakikisha ndani ya dk 20 za mwanzo uwe usharuhusu goli na apo ndio wanaanza kukusaka wanavyotaka, Tumeona mpira umekwisha wakaanza kupongezana wanajua wanachokifanya, Mechi ya leo licha ya simba kuroga kwa kila namna lakini wameambulia kigoli kimoja tu ambacho ndio icho wanajifariji nacho na kuonyesha aijawai kutokea jambo kama ilo🤔🤔🤔 Wenye akili timamu wanapiga hesabu za kuvuka hatua inayofata wengine wanaweka sherehe ya kumfunga mwarabu nyumbani goli moja iyo ndio tofauti ya wao na sisi, Mwenye akili timamu nafikiri atakuwa amenielewa,

Mwisho wa siku anayefanikiwa ni yule aliyevuka, na goli lako linakuwa halina maana yoyote, Wenzetu wanacheza kwa malengo na awachezi kufurahisha genge la mashabiki kwenye jambo ambalo wanaona aliwezi kuwafikisha popote, Kwa maana iyo simba ata angeshinda goli 2 bado alikuwa anakwenda kuondoshwa kule moroco, Ata kama wangebeba waganga wao wote wakaenda nao isingesaidia kitu,

Nawakumbusha tena kumfunga Whydad sio jambo geni, wamefungwa pia na rivers goli 2 pale nigeria ivyo mtafute kitu kingine cha kujifariji na sio icho, povu ruksa!!!!
Kweli ujinga ni kipaji.

Mleta mada umebarikiwa.
 
Kwahiyo wewe kwa akili zako umeona Simba hawana malengo??
Mbona mnahangaika nyie?
Si mtulizane huko, kinachowauma nn?
 
We kijamaa unaonekana una gubu sana ,km una mke basi anayo kazi.
Mpira haupo hivyo na siku hazifanan.
 
Simba mbona haijawahi kucheza na hiyo timu uliyoandika wewe umeitoa wap
 
Nimeona baada ya mechi kuisha mashabiki wa simba wakijifagilia kumfunga whydad kwa mkapa kana kwamba wao ndio timu ya kwanza kumfunga, Ni kawaida ya watanzania kusifia vitu vidogo vidogo pindi wanapokosa hoja ama wanapoona mambo ni magumu kiuhalisia, Kujifariji sio vibaya na kujipa moyo pia lakini isiwe too much,,,

Mtu ambaye ni mfatiliaji mzuri wa mpira na ambae amewafatilia vizuri awa Whydad kwenye mechi zote za ugenini walizocheza atakubaliana na mimi kuwa uwa ni timu inayocheza kwa malengo na umakini mkubwa, ugenini uwa awafunguki uwa wanacheza kwa tempo ya chini sana lakini kwa tahadhari kubwa, uwa awataki uwafunge zaidi ya goli moja endapo utawabahatisha wakijua moja kwa moja ukiwafata kwao wanamalizia walichokipanga,

Whydad awa wamefungwa na rivers goli 2-1 pale nigeria wakiwa na plan yao ile ile ya kucheza taratibu na kupoteza muda but Rivers alikwenda Morocco akachezea goli 6 kwa mtungi, wanakupush kwa nguvu kuakikisha ndani ya dk 20 za mwanzo uwe usharuhusu goli na apo ndio wanaanza kukusaka wanavyotaka, Tumeona mpira umekwisha wakaanza kupongezana wanajua wanachokifanya, Mechi ya leo licha ya simba kuroga kwa kila namna lakini wameambulia kigoli kimoja tu ambacho ndio icho wanajifariji nacho na kuonyesha aijawai kutokea jambo kama ilo🤔🤔🤔 Wenye akili timamu wanapiga hesabu za kuvuka hatua inayofata wengine wanaweka sherehe ya kumfunga mwarabu nyumbani goli moja iyo ndio tofauti ya wao na sisi, Mwenye akili timamu nafikiri atakuwa amenielewa,

Mwisho wa siku anayefanikiwa ni yule aliyevuka, na goli lako linakuwa halina maana yoyote, Wenzetu wanacheza kwa malengo na awachezi kufurahisha genge la mashabiki kwenye jambo ambalo wanaona aliwezi kuwafikisha popote, Kwa maana iyo simba ata angeshinda goli 2 bado alikuwa anakwenda kuondoshwa kule moroco, Ata kama wangebeba waganga wao wote wakaenda nao isingesaidia kitu,

Nawakumbusha tena kumfunga Whydad sio jambo geni, wamefungwa pia na rivers goli 2 pale nigeria ivyo mtafute kitu kingine cha kujifariji na sio icho, povu ruksa!!!!
Acha na takwimu za mchongo. Hakuna anayejua Matokeo game ya marudiano..

Dakika 90 zitaamua, history is the past it doesn't help anything.
 
Basha wako keshapakatwa wewe unalialia ili iweje! Kumfunga tu wydad ni tukio la kihistoria kimpira, hata tukitolewa kwao ktk mechi ya marudiano kwa maana kila mtu kashinda kwake, ila kwa sasa basha wako anaijua simbs sc, anamjua baleke, anaujua uwanja wa mkapa, ameliona vibe la wana simba sc, acha utoto.
 
Nimeona baada ya mechi kuisha mashabiki wa simba wakijifagilia kumfunga whydad kwa mkapa kana kwamba wao ndio timu ya kwanza kumfunga, Ni kawaida ya watanzania kusifia vitu vidogo vidogo pindi wanapokosa hoja ama wanapoona mambo ni magumu kiuhalisia, Kujifariji sio vibaya na kujipa moyo pia lakini isiwe too much,,,

Mtu ambaye ni mfatiliaji mzuri wa mpira na ambae amewafatilia vizuri awa Whydad kwenye mechi zote za ugenini walizocheza atakubaliana na mimi kuwa uwa ni timu inayocheza kwa malengo na umakini mkubwa, ugenini uwa awafunguki uwa wanacheza kwa tempo ya chini sana lakini kwa tahadhari kubwa, uwa awataki uwafunge zaidi ya goli moja endapo utawabahatisha wakijua moja kwa moja ukiwafata kwao wanamalizia walichokipanga,

Whydad awa wamefungwa na rivers goli 2-1 pale nigeria wakiwa na plan yao ile ile ya kucheza taratibu na kupoteza muda but Rivers alikwenda Morocco akachezea goli 6 kwa mtungi, wanakupush kwa nguvu kuakikisha ndani ya dk 20 za mwanzo uwe usharuhusu goli na apo ndio wanaanza kukusaka wanavyotaka, Tumeona mpira umekwisha wakaanza kupongezana wanajua wanachokifanya, Mechi ya leo licha ya simba kuroga kwa kila namna lakini wameambulia kigoli kimoja tu ambacho ndio icho wanajifariji nacho na kuonyesha aijawai kutokea jambo kama ilo🤔🤔🤔 Wenye akili timamu wanapiga hesabu za kuvuka hatua inayofata wengine wanaweka sherehe ya kumfunga mwarabu nyumbani goli moja iyo ndio tofauti ya wao na sisi, Mwenye akili timamu nafikiri atakuwa amenielewa,

Mwisho wa siku anayefanikiwa ni yule aliyevuka, na goli lako linakuwa halina maana yoyote, Wenzetu wanacheza kwa malengo na awachezi kufurahisha genge la mashabiki kwenye jambo ambalo wanaona aliwezi kuwafikisha popote, Kwa maana iyo simba ata angeshinda goli 2 bado alikuwa anakwenda kuondoshwa kule moroco, Ata kama wangebeba waganga wao wote wakaenda nao isingesaidia kitu,

Nawakumbusha tena kumfunga Whydad sio jambo geni, wamefungwa pia na rivers goli 2 pale nigeria ivyo mtafute kitu kingine cha kujifariji na sio icho, povu ruksa!!!!
Sisi tumeshakubaliana tukienda Morocco, tunapaki basi mwanzo mwisho.

Yaani siku hiyo tunachezesha mabeki tupu. Halafu tukipata tu sare ya 0-0, tunakuwa tumefuzu hatua ya nusu fainali, kwa mara ya kwanza kabisa. Kwa kweli tumechoka kuishia kwenye hii hatua ya robo fainali.
 
Mleta uzi utakua unazungumzia Simba B ndo walicheza na hao unaowaita Whydad au mi ndo sijakuelewa, maana Simba SC ya wakubwa wamecheza na wakubwa wenzao Wydad AC na mchezo baada ya dakika 90 kukamilika SSC 1-0 WAC.
 
Nimeona baada ya mechi kuisha mashabiki wa simba wakijifagilia kumfunga whydad kwa mkapa kana kwamba wao ndio timu ya kwanza kumfunga, Ni kawaida ya watanzania kusifia vitu vidogo vidogo pindi wanapokosa hoja ama wanapoona mambo ni magumu kiuhalisia, Kujifariji sio vibaya na kujipa moyo pia lakini isiwe too much,,,

Mtu ambaye ni mfatiliaji mzuri wa mpira na ambae amewafatilia vizuri awa Whydad kwenye mechi zote za ugenini walizocheza atakubaliana na mimi kuwa uwa ni timu inayocheza kwa malengo na umakini mkubwa, ugenini uwa awafunguki uwa wanacheza kwa tempo ya chini sana lakini kwa tahadhari kubwa, uwa awataki uwafunge zaidi ya goli moja endapo utawabahatisha wakijua moja kwa moja ukiwafata kwao wanamalizia walichokipanga,

Whydad awa wamefungwa na rivers goli 2-1 pale nigeria wakiwa na plan yao ile ile ya kucheza taratibu na kupoteza muda but Rivers alikwenda Morocco akachezea goli 6 kwa mtungi, wanakupush kwa nguvu kuakikisha ndani ya dk 20 za mwanzo uwe usharuhusu goli na apo ndio wanaanza kukusaka wanavyotaka, Tumeona mpira umekwisha wakaanza kupongezana wanajua wanachokifanya, Mechi ya leo licha ya simba kuroga kwa kila namna lakini wameambulia kigoli kimoja tu ambacho ndio icho wanajifariji nacho na kuonyesha aijawai kutokea jambo kama ilo🤔🤔🤔 Wenye akili timamu wanapiga hesabu za kuvuka hatua inayofata wengine wanaweka sherehe ya kumfunga mwarabu nyumbani goli moja iyo ndio tofauti ya wao na sisi, Mwenye akili timamu nafikiri atakuwa amenielewa,

Mwisho wa siku anayefanikiwa ni yule aliyevuka, na goli lako linakuwa halina maana yoyote, Wenzetu wanacheza kwa malengo na awachezi kufurahisha genge la mashabiki kwenye jambo ambalo wanaona aliwezi kuwafikisha popote, Kwa maana iyo simba ata angeshinda goli 2 bado alikuwa anakwenda kuondoshwa kule moroco, Ata kama wangebeba waganga wao wote wakaenda nao isingesaidia kitu,

Nawakumbusha tena kumfunga Whydad sio jambo geni, wamefungwa pia na rivers goli 2 pale nigeria ivyo mtafute kitu kingine cha kujifariji na sio icho, povu ruksa!!!!
Hebu ukitoka Rivers United pale Mito Ilippungana pitia Morocco. Sio ya Kinondoni. Omba kamechi kakujiweka sawa halafu njoo ulete majibu.

Subiri mahesabu yako leo jioni utaiona hesabu ya Mito
 
Kabla ya mechi mlisema oooh! Simba itqpigwa nje ndani simba wakasema sawa wameingia uwanjani wamefunga goli moja mnaanza tena oooh! Kuifunga waydad sio jambo geni mara walisha fungwa na rivers sasa nyinyi mlitakaje labda !?

Maana hakuna ushind ambao simba atashinda mtaukubali kwamba ni ushindi halali wa jitihada yaan nyie kila ushind wa simba ni wa bahati ,hivi mpoje nyie mbona mnaroho mbaya kila wakati..
Wanakuwa kama mijusi juu ya jiwe. Jua likiwawakia joto ya jiwe ikapanda wanasogea.

Achana na hawa mijusi, joto la jiwe wameshalipata. Acha wasogee
 
Nimeona baada ya mechi kuisha mashabiki wa simba wakijifagilia kumfunga whydad kwa mkapa kana kwamba wao ndio timu ya kwanza kumfunga, Ni kawaida ya watanzania kusifia vitu vidogo vidogo pindi wanapokosa hoja ama wanapoona mambo ni magumu kiuhalisia, Kujifariji sio vibaya na kujipa moyo pia lakini isiwe too much,,,

Mtu ambaye ni mfatiliaji mzuri wa mpira na ambae amewafatilia vizuri awa Whydad kwenye mechi zote za ugenini walizocheza atakubaliana na mimi kuwa uwa ni timu inayocheza kwa malengo na umakini mkubwa, ugenini uwa awafunguki uwa wanacheza kwa tempo ya chini sana lakini kwa tahadhari kubwa, uwa awataki uwafunge zaidi ya goli moja endapo utawabahatisha wakijua moja kwa moja ukiwafata kwao wanamalizia walichokipanga,

Whydad awa wamefungwa na rivers goli 2-1 pale nigeria wakiwa na plan yao ile ile ya kucheza taratibu na kupoteza muda but Rivers alikwenda Morocco akachezea goli 6 kwa mtungi, wanakupush kwa nguvu kuakikisha ndani ya dk 20 za mwanzo uwe usharuhusu goli na apo ndio wanaanza kukusaka wanavyotaka, Tumeona mpira umekwisha wakaanza kupongezana wanajua wanachokifanya, Mechi ya leo licha ya simba kuroga kwa kila namna lakini wameambulia kigoli kimoja tu ambacho ndio icho wanajifariji nacho na kuonyesha aijawai kutokea jambo kama ilo[emoji848][emoji848][emoji848] Wenye akili timamu wanapiga hesabu za kuvuka hatua inayofata wengine wanaweka sherehe ya kumfunga mwarabu nyumbani goli moja iyo ndio tofauti ya wao na sisi, Mwenye akili timamu nafikiri atakuwa amenielewa,

Mwisho wa siku anayefanikiwa ni yule aliyevuka, na goli lako linakuwa halina maana yoyote, Wenzetu wanacheza kwa malengo na awachezi kufurahisha genge la mashabiki kwenye jambo ambalo wanaona aliwezi kuwafikisha popote, Kwa maana iyo simba ata angeshinda goli 2 bado alikuwa anakwenda kuondoshwa kule moroco, Ata kama wangebeba waganga wao wote wakaenda nao isingesaidia kitu,

Nawakumbusha tena kumfunga Whydad sio jambo geni, wamefungwa pia na rivers goli 2 pale nigeria ivyo mtafute kitu kingine cha kujifariji na sio icho, povu ruksa!!!!

Ungekua una fuatilia mpira ungejua kuandika wydad
 
Jamaa kaongea ukweli lakini mambumbu yanamshambulia ..GUVU MOYAAA
JamiiForums863469878.jpg
 
Ilianza simba msijifiche kwenye kumfunga vipers sababu horoya atawapiga hapo hapo kwenu,ikaja simba msifurahi kumfunga horoya,sababu yanga watawapiga nying,ikafuata simba msijidanganye kumfunga yanga manake wydad atawakanda kibao ....sasa imekuja simba msifurahi kumfunga wydad,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utopolo mna hali ngumu sana asee ..
 
Back
Top Bottom