Simba msikate tamaa, tumieni uwanja wenu wa nyumbani vizuri.

SIPANGIWI

Member
Joined
Jan 11, 2019
Posts
11
Reaction score
10
Katika soka lolote linawezekana, japo ukweli ni kwamba soka la kisasa ni la kisayansi na linaenda sambamba na uwekezaji. Washindani wenu wakuu katika kundi AL AHLY na AS VITA wamewazidi katika kuwekeza. Kwasasa mnachotakiwa kukifanya mkikutana nao, pamoja na FALSAFA, MBINU na MAELEKEZO mengineyo ya mwalimu chezeni JIHADI uwanjani. Jana mlicheza kwa ulegevu sana.
 
Msipowapiga 5 am 6 hao vita hapa dar kweli mtatusononesha sana, possession yenu kubwa muda wote wa dk100 lakni bado mnapigwa tano????
 
Bila goli la offside au kuwanunua wapinzani simba hata cku mmoja hawezi shinda
Rubbish @ highest order. Kwanini wabongo huwa hampendi kuzungumzia football wanapenda kuongea unazi kama Manara? Huwezi kukuta wapenzi wa ManU na Man City Uingereza wanaongea unazi huwa hata wanakubali uwezo wa mpinzani na udhaifu ya timu zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli umekuchoma vilivyo, pole sana,
Sasa wewe bingwa utapigwaje 6 mtungi?? Kama kweli kwenye ligi yako ulishinda kihalali??
 
vyuraa katika ubora wenu

1548012767645.png
 
Ukweli umekuchoma vilivyo, pole sana,
Sasa wewe bingwa utapigwaje 6 mtungi?? Kama kweli kwenye ligi yako ulishinda kihalali??
Wewe ni kanjanja wa mpira, Yanga walikula 5 bila kwa Simba na Okwi akapiga hatrick na maisha yanaendelea sema jana bahati mbaya wamefia stendi na wenzao Simba wamefia vitani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika soka lolote linawezekana, japo ukweli ni kwamba soka la kisasa ni la kisayansi na linaenda sambamba na uwekezaji. Washindani wenu wakuu katika kundi AL AHLY na AS VITA wamewazidi katika kuwekeza. Kwasasa mnachotakiwa kukifanya mkikutana nao, pamoja na FALSAFA, MBINU na MAELEKEZO mengineyo ya mwalimu chezeni JIHADI uwanjani. Jana mlicheza kwa ulegevu sana.
Wanao Uwanja!!!!? Labda Shamba la Bunju, vinginevyo kafara kwa msema ovyo lihusike, ila kula tano mtoa post.......matanga lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika soka lolote linawezekana, japo ukweli ni kwamba soka la kisasa ni la kisayansi na linaenda sambamba na uwekezaji. Washindani wenu wakuu katika kundi AL AHLY na AS VITA wamewazidi katika kuwekeza. Kwasasa mnachotakiwa kukifanya mkikutana nao, pamoja na FALSAFA, MBINU na MAELEKEZO mengineyo ya mwalimu chezeni JIHADI uwanjani. Jana mlicheza kwa ulegevu sana.
Acha kuwadanganya
 
Back
Top Bottom