SIPANGIWI
Member
- Jan 11, 2019
- 11
- 10
Katika soka lolote linawezekana, japo ukweli ni kwamba soka la kisasa ni la kisayansi na linaenda sambamba na uwekezaji. Washindani wenu wakuu katika kundi AL AHLY na AS VITA wamewazidi katika kuwekeza. Kwasasa mnachotakiwa kukifanya mkikutana nao, pamoja na FALSAFA, MBINU na MAELEKEZO mengineyo ya mwalimu chezeni JIHADI uwanjani. Jana mlicheza kwa ulegevu sana.