Rubbish @ highest order. Kwanini wabongo huwa hampendi kuzungumzia football wanapenda kuongea unazi kama Manara? Huwezi kukuta wapenzi wa ManU na Man City Uingereza wanaongea unazi huwa hata wanakubali uwezo wa mpinzani na udhaifu ya timu zao.Bila goli la offside au kuwanunua wapinzani simba hata cku mmoja hawezi shinda
Ukweli umekuchoma vilivyo, pole sana,Rubbish @ highest order. Kwanini wabongo huwa hampendi kuzungumzia football wanapenda kuongea unazi kama Manara? Huwezi kukuta wapenzi wa ManU na Man City Uingereza wanaongea unazi huwa hata wanakubali uwezo wa mpinzani na udhaifu ya timu zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni kanjanja wa mpira, Yanga walikula 5 bila kwa Simba na Okwi akapiga hatrick na maisha yanaendelea sema jana bahati mbaya wamefia stendi na wenzao Simba wamefia vitaniUkweli umekuchoma vilivyo, pole sana,
Sasa wewe bingwa utapigwaje 6 mtungi?? Kama kweli kwenye ligi yako ulishinda kihalali??
Wanao Uwanja!!!!? Labda Shamba la Bunju, vinginevyo kafara kwa msema ovyo lihusike, ila kula tano mtoa post.......matanga lini?Katika soka lolote linawezekana, japo ukweli ni kwamba soka la kisasa ni la kisayansi na linaenda sambamba na uwekezaji. Washindani wenu wakuu katika kundi AL AHLY na AS VITA wamewazidi katika kuwekeza. Kwasasa mnachotakiwa kukifanya mkikutana nao, pamoja na FALSAFA, MBINU na MAELEKEZO mengineyo ya mwalimu chezeni JIHADI uwanjani. Jana mlicheza kwa ulegevu sana.
Acha kuwadanganyaKatika soka lolote linawezekana, japo ukweli ni kwamba soka la kisasa ni la kisayansi na linaenda sambamba na uwekezaji. Washindani wenu wakuu katika kundi AL AHLY na AS VITA wamewazidi katika kuwekeza. Kwasasa mnachotakiwa kukifanya mkikutana nao, pamoja na FALSAFA, MBINU na MAELEKEZO mengineyo ya mwalimu chezeni JIHADI uwanjani. Jana mlicheza kwa ulegevu sana.