Simba msikurupuke Victorien Adebayor ameshuka kiwango

 
Viongozi wa Simba ndiyo sajili wanazopenda ,mchezaji akiwa kwenye kiwango hawana Hela(ubahili)ila akishuka kiwango ndiyo wananyemelea kama fisi.
Kiufundi huyo adebayo na Manzoki Kwa kusajiliwa Simba itakuwa mwendelezo wa dharau Kwa mashabiki.
Dawa ni kuisusia Simba kwenye michezo yote washangilie hao Viongozi.
 

Yaani Simba wanasikitisha Sana wanapenda dezo kuliko mala mala malaya wa uwanja wa fisi? Yote hii ni Mangungu
 
Ndiyo kawaida Yao Simba kufanya sajili za hivyo we fatilia ni wachezaji wachache sana ndiyo unakuta wapo kwenye ubora Kwa wakati huo wanasajiiwa Simba ila wengi wanaobaki ni wastaafu ,wamechoka huko walikotoka wakifika Simba tunaamishishwa ndiyo sajili za fainali.
 
Mi siamini kama haya yanafanyika bahati mbaya, madalali Mungu anawaona 😅. Wachezaji wote wazee, pale simba B wale watoto mna mpango wa kuwapeleka wapi au nao mpaka wazeeke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…