Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Hakuna aliyemdharau mohamed hussein tena tunampenda sana unless hujaelewa watu wanacholalamika au unafanya makusudi, umesikia kauliza meneja wake?na mbaya zaidi ni jitu huni linalojulikana kwa mambo yake ya kihuni toka miaka ya 80.yan nyie ni shabiki maandazi tu na ndio maana tim zenu nyingi za Tz hata tim ya taifa hazifiki mbali...
.
angali mtu kamaliza mkataba wake, analeta offa yake mezani mnaanza kumuona anadharau mnaanza kumuona kama hafai...
.
simba ni timu kubwa kwaiyo inatakiwa kusajili wachezaji wakubwa kwa dau kubwa siku zote thamni ya club inavyopanda bas na thamni ya mchezaji inapanda..
.
acheni ushabiki maandazi
Nashukuru mkuu, sasa nimepata picha, aende anapoona sehemu sahihi.Hakuna aliyemdharau mohamed hussein tena tunampenda sana unless hujaelewa watu wanacholalamika au unafanya makusudi, umesikia kauliza meneja wake?na mbaya zaidi ni jitu huni linalojulikana kwa mambo yake ya kihuni toka miaka ya 80.
Sasa anapewa back up za kijinga na shahif dauda ambaye hata issue ya ramadhani singano messi aliijambisha yeye naona anataka tena kuishika simba masharubu.
JAMANI ISSUE NI NDOGO MKATABA ULIOPITA NI MILIONS 4 KWA MWEZI YEYE MWENYEWE KASEMA ANATAKA MILINI 8 SIMBA WAMEKUBALI ANATAKA MILIONI 70 SIGNING FEE SIMBA WANATOA 68.
GHAFLA MENEJA KAANZA KUTUKANA MAREDIONI AKISAIDIWA NA MIPASHO YA DAUDA MNATAKA SIMBA WAFANYEJE? AENDE YANGA KUNA MILIONI 100 SIGNING FEE NA MILIONS 10 KWA MWEZI.
Kaongea vitu vya ajabu sana huwezi amini siku moja kabla hajaropoka zimbwe alisema wanabishania pungufu ya signing fee milion 2 tu, kesho yake jamaa kakiwasha vibaya mnoo kasaidiwa na shaffih dauda kama simba wakitoa huu mkataba mpya jinsi anavyotaka mzozo itakuwa dharau kubwa sana kwa CEO wa simba,,waaachane naye aende kwenye maslahi mazuri.Napata ugumu kuchangia huu uzi kwakuwa sijui Heri na Mo Hussein wameongea nini, ila Mzozo namfahamu maisha yake yote anapenda mizozo mizozo tu
Ni lini umeona meneja wa luis au chama kafanya aliyofanya mzozo?ulimsikiA zimbwe alichosema kabla meneja wake hajaropoka,simba wamlikubali kumpa milions 8 kwa mwezi na milinOi 68 ya kusaini yeya akawa anataka 70..kesho yake meneja anasema simba wana dharau kwanza zimbwe hajawahi kuitwa ofisini kwa MO kwenda kupiga picha, seriously?Ingekuwa ni chama or konde ungekuwa na maoni hayohayo?
Kama jibu ni hapana jipige kifuani, sema mimi ni mchawi.
On a serious note wabongo tuache hii tabia, kipindi cha the late magu kuna mtu alitumbuliwa kisa mshahara wake ni mkubwa lakini mshahara huohuo akilipwa mzungu au wakuja hutasikia watu wakilalamika. Wote tunajua mshahara aliokuwa analipwa
Amunike = etiene+matola+mgunda
Lakini hakuna mbumbumbu aliyelalamika
nashangaa sana sasa angle yao ya kutaka mashabiki wa react kwa viongozi imeshindikana wanaanza kuema wachezaji wazawa hawatahaminiwi, aende huko yanga akathaminiwe kama anaona kuitwa ofisini na Mo kunywa naye chai na kupiga picha ni suala la muhimu.Kaseja alipofatwa na yanga aliwaambia Simba dau alilowekewa, Simba wakasema hawawezi kumpa akaondoka kiroho safi wala hatukusikia makelele na mpaka leo hakuna wanasimba wanaomsema Kaseja vibaya, Zimbwe mwache aende Simba ni kubwa kuliko yeye.
Hizo biashara tu ili Zimbwe apandishiwe dau kama ilivyo kwa Chama,ila 100% haendi popote atabaki Simba.SIMBA NI TEAM KUBWA. MOHAMMED HUSSEIN ni mchezaji kama wachezaji wengine waliopita Simba wakaenda zao. Huyu hawezi Isumbua Simba hata kidogo.
Mwacheni Meneja wake asiye na Shule amchukue ampeleke anakotaka. Mkimsajiri Mo Hussein kwa kushirikiana na huyu Meneja Mhuni.
Alikuwa na njia sahihi za kudai mshahara wa Mo Hussein kuongezwa. Zipo. But huku anakoona kuwa sasa amepata umaarufu huu ni umaarufu wa muda kwa vyombo vya habari. Ila mwisho wake utakuwa mbaya kwa mchezaji.
SIMBA MWACHENI MOHAMMED HUSSEIN AENDE KWENYE GREENER PASTURES. PLEASE MWACHENI MPIRA NI PESA. MWACHENI AENDE AKAPATE PESA NYINGI ZAIDI.
Hana akili yoyote sanasana kaharibu kuna kujambishwa kama ilivyotokea kwa chama kwenda yanga au issue ya manula sasa hivi kutakiwa sudan? kujambisha ndo kutafuta marafiki zako wa media kumtukana CEO wa team kwamba anapenda mapicha na kiki za kijinga?kumlaumu Mo dewji kwa nini hamualiki zimbwe ofisini kwake kupiga picha?Hizo biashara tu ili Zimbwe apandishiwe dau kama ilivyo kwa Chama,ila 100% haendi popote atabaki Simba.
Ila na msifu wakala wake Zimbwe ana akili anajua kuwajambisha Simba ili mchezaji wake apewe dau kubwa.
Huyo haendi popote anabaki hapo hapo Simba hiyo michezo ya mawakala,Kama wakala wa Pogba anavyo ijambishaga Man.hana akili yoyote sanasana kaharibu kuna kujambishwa kama ilivyotokea kwa chama kwenda yanga au issue ya manula sasa hivi kutakiwa sudan? kujambisha ndo kutafuta marafiki zako wa media kumtukana CEO wa team kwamba anapenda mapicha na kiki za kijinga?kumlaumu Mo dewji kwa nini hamualiki zimbwe ofisini kwake kupiga picha?
WAENDE NAYE KWENYE MASLAHI SIMBA WAKIKUBALI KUPIGISHWA MAGOTI NA HERRY MZOZO WAJUE SASA WACHEZAJI WATAKUWA WANENDA KUCHUKUA WAHUNI WA MTAANI WAWE MAMENEJA WAO WAPIGIANE KELELE KWENYE MEDIA KUHUSU MIKATABA