njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
kujambisha hata manula sasa hivi anajambaisha umeona kuna mtu anasema manula kama vipi asepe? ni kwa sababu hatusajisikia meneja wake akiitukana simba wala akishirikiana na waandishi makanjanja kulazimisha, ushasema mchezaji wako anadharauliwa hathaminiki ila yanga kuna dau kubwa sasa si uende naye yanga?Huyo haendi popote anabaki hapo hapo Simba hiyo michezo ya mawakala,Kama wakala wa Pogba anavyo ijambishaga Man.
Unalazimisha simba ya nini? kauli za huyo meneja na mshkaji wake shaffih dauda zinakera sana tena mnoo
simba walishakubali kumpa signing fee ya milions 68 na mshahara milions 8 kwa mwezi yeye akatakaa fee ya 70 milllions ni kwa mujbu wa maelezo ya mchezaji sasa wakati wanabishania milions 2 tukasikia matusi ya meneja.
walahi kama simba wakikubali kumsajili tena itakuwa dharau kubwa sana hii huyo pogba unayemtolea mfano kwani washabiki wa man utd hawajamchoka?walimumabia aende tu yaani issue ya mchezaji mmoja inataka toa focus ya team nzima?
huyo zimbwe akili yake sasa hivi iko sawa kweli kucheza hata mechi ya tarehe 8 na yanga? au meneja atampa maelekezo tofauti