Kwa namna Simba walivyofanya usajili wao naamini kabisa watafanya vizuri sana msimu huu,kama uliwatizama vizuri kwenye ile mechi yao ya Simba day timu imebadilika sana wanaufurahia mpira kama mwalimu wao anavyotaka pamoja na kwamba hawakushinda ila soka linaonekana kama uliuangalia mpira kitaalam utanielewa ila kama uliuangalia ukiwa timu ya wananchi wenzangu utakataa