Simba msimu huu atasumbua sana

Simba msimu huu atasumbua sana

upakoo

Senior Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
101
Reaction score
70
Kwa namna Simba walivyofanya usajili wao naamini kabisa watafanya vizuri sana msimu huu,kama uliwatizama vizuri kwenye ile mechi yao ya Simba day timu imebadilika sana wanaufurahia mpira kama mwalimu wao anavyotaka pamoja na kwamba hawakushinda ila soka linaonekana kama uliuangalia mpira kitaalam utanielewa ila kama uliuangalia ukiwa timu ya wananchi wenzangu utakataa
 
wachezaji wanamgomo baridi...Kagere jitu halina hata footwork analipwa mshahara mkubwa kuliko Okwi,Bocco na Kichuya

Mgomo baridi upo yanga ambayo hata kesho hawaijui, simba hata mchezaji anauhakika na maisha na ndio timu pekee inayolipa vizuri africa mashariki. Hao ndala hawajatoa hata tuzo ya miatano kwa wachezaji wao sasa kuna faida gani kucheza yanga
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
20181226_073821.gif
 
Back
Top Bottom