Na hakuna anayeongelea mechi zilizochezwa huko au walikuwa wanafanya mazoezi ya viungo!.Tangu watoke kambini uturuki hawajashinda mechi hata moja
Walipigwa 6 bila unafikiri wataongeleaNa hakuna anayeongelea mechi zilizochezwa huko au walikuwa wanafanya mazoezi ya viungo!.
wachezaji wanamgomo baridi...Kagere jitu halina hata footwork analipwa mshahara mkubwa kuliko Okwi,Bocco na Kichuya
Walishinda mechi waliyocheza na madereva taxTangu watoke kambini uturuki hawajashinda mechi hata moja
Mnao ya msimu huu mmmhwatakapoanza kufungwa na mbao ndio mtajua hamna kitu!
maneno yako ya mwisho "tena na wamakonde" yanaonyesha dharau flani hivi ya kishamba...Kushindwa Kuifunga Timu Ya kijijini tena na wamakonde!!
Wamakonde ni watani zangu..... Hii ni kitanzania, kitamaduni zaidi si kishambamaneno yako ya mwisho "tena na wamakonde" yanaonyesha dharau flani hivi ya kishamba...
hapo sawaWamakonde ni watani zangu..... Hii ni kitanzania, kitamaduni zaidi si kishamba