SIMBA MTAKUJA NA VISINGIZIO NA MTAPOTEANA

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
Simba wanashiriki kilabu bingwa nawataadharisha msije na visingizio hapo mbeleni najua mtasema tulikuwa tanshiriki klabu bingwa nawaambia ukweli msipoangalia mtamaliza ligi nyuma ya azam na yanga na klabu bingwa mtaishia Nkana hapo mtakuja kukumbuka ligi vijana hawataki kushuka daraja yanga na azam haooooo Nampa nafasi kubwa azam kuchukua ligi kuu Yule kocha anajielewa isitoshe Hana mashindano mengine makubwa nguvu yote ligi kuu
 
Vipi ligi imefika hata nusu?
Nina hakika mtarudi na visingizio mwezi wa tano mwakani.
Wacha wanaume tukomae kwanza na Champions League .
Bakini kushangilia timu za nje. Mlitia aibu sana kufungwa mechi 3 nyumbani tena na
vitimu vya ajabu.
Tutarudi kwenye ligi baada ya kukamilisha azma yetu ya kuingia kwenye makundi ya champions league.
Hatuwaoni nyinyi kama wapinzani wetu.Sisi tupo level nyingine. Tuna aim higher.By the way Manji amerudi?Nasikia mnamlilia mwenyekiti hewa.
 
Vipi Mwenyekiti hewa amerudi?Au kupiga magoti hakujasaidia.Mtu anafilisiwa misukule inampigia magoti.Tembeeni kwa magoti.
 
Vipi Mwenyekiti hewa amerudi?Au kupiga magoti hakujasaidia.Mtu anafilisiwa misukule inampigia magoti.Tembeeni kwa magoti.
hahahaaa vyura wanamwabudu kanjibhai! sasa hivi tetesi zinasema atafilisiwa mali zake sijui vyura watakuwa wageni wa nani.
 
Reactions: Tui
Wewe ni chura. Anayepigwa ni punda wa Zambia wewe punda wa nyumbani kinakuliza nini?
Nkana Red Devils kawa punda?

Naona ushindi mnono dhidi M Swallows umewatoa ufahamu.

Nkana sio Mbabane.
 
Mkuu cha kuombea ni Simba iweze kufuzu hatua inayofuata maana kama watatolewa na Nkana, basi ni wazi ya kwamba morali yao itashuka sana. Sasa watarudi kupigania kwenye ligi kuu huku akiwa anacheza viporo vyake na huku akicheki Azam na Yanga wakiwa wamemuacha gape kubwa endapo Azam na Yanga wataendeza ushindi wa mechi zao.
 
Uandishi wako unaonesha ulivyo na chuki,hasira,gubu,kijicho roho ya korosho na kila aina ya roho mbaya!!Yaani Simba wacheze na kuzifunga timu za nje weye ushikwe na kiwewe?Aaaargh...hebu punguza hallucinations churaaaa!!!
 
Eight goals against a weak team like Mbabane Swallows will count for nothing against Nkana Red Devils.
Going to the next stage at the expense of Nkana is day dreaming.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…