Simba wanashiriki kilabu bingwa nawataadharisha msije na visingizio hapo mbeleni najua mtasema tulikuwa tanshiriki klabu bingwa nawaambia ukweli msipoangalia mtamaliza ligi nyuma ya azam na yanga na klabu bingwa mtaishia Nkana hapo mtakuja kukumbuka ligi vijana hawataki kushuka daraja yanga na azam haooooo Nampa nafasi kubwa azam kuchukua ligi kuu Yule kocha anajielewa isitoshe Hana mashindano mengine makubwa nguvu yote ligi kuu