Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Ni vizuri timu zote zimetolewa, zihamie Zanzibar jumla.Kwa muda sasa nmekuwa nikiombea na kushiriki kwenye michango ya kazi chafu dhidi ya mikia. Kwenda kuwapiga misumali wachezaji wao na wengine kurubuniwa Simba ifanye vibaya.
Nashukuru serikali imekuwa upande wetu sana sisi team ya wananchi kinyume na mikia sc ambao wametelekezwa wameachwa kama wasio na baba mbwa hawa.
But nimeona kumbe kuingia robo fainali si jambo jepesi. Aisee... Sisi mwaka wa pili huu jamaa wamechemka nasi tunachemka nao. Mbona sisi team yetu ni bora kila nyanja? Tunakwama wapi ikiwa matches za ndani tukiwafadhili jamaa tunawachapa 5,6 n.k?
Tunajidanganya sometimes. Hujma zinatuathiri sote. Tumebaki home wote. Pamoja na misaada kibao toka serikalini ambayo tumekuwa tukipata ili Yanga yetu iwe ndiyo team maarufu na bora huku East Afrika. Imekuwa ni bure. Tunajaribu washusha mikia nasi tunashuka nao. Imekuwa kama laana.
Kwa kweli nimekasirika wacha nitoe nyongo. Ushabiki naweka pembeni wacha wa kuja kufoka mje ntawatembezea ukuni mbwa nyie. Sitaki kuremba remba. Mikia wamekuwa wakijitahidi sana. Wametufikisha mbali kimataifa. Sasa tuwaache tusiwafanyie uhuni na hujma.
Tujipange sisi kama sisi na tujipange kikweli kweli si kwa kununua teams pinzani za ligi zituachie tufunge magoli lukuki. Ni uongo kila siku kusema tulikuwa kundi gumu. Simba teams gani kubwa Africa haijawahi cheza nazo kwenye hayo makundi? Walishawai kuwa mpaka wanapiga 5,5 lakini tumeona walipanda kiasi gani kimpira.
Tukubali kuwa fair na tuache siasa mipiran. Na kujipendekeza kusiko na maaana. Nimepasua jipu tayari njoon mtoe povu niwapasua na majicho yenu.
Bi mkubwa wako ndo kanituma nimemwacha amelala amechokaNdivo simba walivokutuma
Na miaka ya nyuma ilikua ni laana ya nini?Timu zetu hazikuweza kushinda kimataifa sababu ya Laana ya September 29:
Yale mambo yasijirudie Tena kabisa:
Jeshi lilitumia nguvu kubwa sana kwa raia:
JWTZ linaheshimika lingekuja tu barabarani na kuzuwazuia waandamanaji kwa maji ya kuwasha, mabomu ya mchozi au risasi za miguuni tu:
Watu wanapiga risasi za kichwa hadi kwa raia wapita njia:
Ule ulikuwa uhalifu wa kivita:
NIMEMALIZA
Na miaka ya nyuma ilikua ni laana ya nini?
Kama Yanga ndiyo imelaaniwa kabisa. Ilichangia milioni 100 ili Watanganyika wakauawe bila sababu.Timu zetu hazikuweza kushinda kimataifa sababu ya Laana ya September 29:
Yale mambo yasijirudie Tena kabisa:
Jeshi lilitumia nguvu kubwa sana kwa raia:
JWTZ linaheshimika lingekuja tu barabarani na kuzuwazuia waandamanaji kwa maji ya kuwasha, mabomu ya mchozi au risasi za miguuni tu:
Watu wanapiga risasi za kichwa hadi kwa raia wapita njia:
Ule ulikuwa uhalifu wa kivita:
NIMEMALIZA
Nyuma wapiNa miaka ya nyuma ilikua ni laana ya nini?
Punguza mihemko, nauliza kipindi cha miaka ya nyuma yanga na simba , walivyokuwa wanashindwa kufuzu makundi ilikua ni laana ya kitu gani?Nyuma wapi
Wewe uliishi huko Nyuma ?
Watu tunaongea mambo ya Leo wewe unaongea mambo ya Nyuma,
Uko timamu kweli?
Au wewe ni Mchawi Mwanga:
Kwahiyo wewe unaishi kwa mambo ya Nyuma?Punguza mihemko, nauliza kipindi cha miaka ya nyuma yanga na simba , walivyokuwa wanashindwa kufuzu makundi ilikua ni laana ya kitu gani?
OK, kwa hiyo kwenye hayo mashindano ni simba na yanga tu zimetoka, na sababu ni laana ya Sept 29 ?Kwahiyo wewe unaishi kwa mambo ya Nyuma?
Huko Nyuma Al-Ahly walikuwepo?
Acha kujitoa ufahamu;
Wewe Nyuma ulikuwepo ?
Babu yako alikuwepo huko Nyuma?
Acha upumbavu wako
Ndio September 29 ilileta Laana Tanganyika:OK, kwa hiyo kwenye hayo mashindano ni simba na yanga tu zimetoka, na sababu ni laana ya Sept 29 ?
Mpira ni mchezo wa wazi , timu kutoka kwenye mashindano ni jambo la kawaida tu .Ndio September 29 ilileta Laana Tanganyika:
Wasio na hatia waliuliwa
na kupata ulemavu:
Tena wengine waliuliwa nyumbani kwao kama
Shehe Sharifu Majini:
Huoni hiyo ni Laana
Watu wameuliwa Juzi Leo wewe unataka kusheherekea ushindi wa timu:
Una akili timamu kweli wewe
Haya endelea kuzisikitia timu zako:Mpira ni mchezo wa wazi , timu kutoka kwenye mashindano ni jambo la kawaida tu .
Kwenye mashindano kuna matokeo matatu , ushindi droo na kufungwa .
Hayo mambo ya kusema ni laana sijui za kitu fulani sijui ,unaiwekaje hiyo wakati timu kutoka ni kawaida tu kwenye mpira 🤔
Huyo mama mimi sina habari nae wala huwa simzingatii, hapa nimelenga msingi wa hoja yako kuwa ni laana🤔Haya endelea kuzisikitia timu zako:
Ila zimekosa Goli la mama msimu huu nenda kamuulize ni kwanini hanunui tena magoli kama huko Nyuma
Sawa na umenishinda hoja Hongera sanaHuyo mama mimi sina habari nae wala huwa simzingatii, hapa nimelenga msingi wa hoja yako kuwa ni laana🤔
Sikua na lengo la kushinda , nilitaka nijue tu mechanism ya laana inafanyikaje ndani ya matokeo ya mpira , yani hapo ulitakiwa kuwa mwalimu halafu mimi mwanafunzi 🤔Sawa na umenishinda hoja Hongera: