Simba mtusamehe, hujuma zetu kwenu zimetuathiri sote

Simba mtusamehe, hujuma zetu kwenu zimetuathiri sote

Sikua na lengo la kushinda , nilitaka nijue tu mechanism ya laana inafanyikaje ndani ya matokeo ya mpira , yani hapo ulitakiwa kuwa mwalimu halafu mimi mwanafunzi 🤔
Nchi kwa sasa ipo kwenye simanzi la huzuni:
Haya ni mambo ya Kiroho
Yameathili mambo mengi pamoja na mpira wa miguu
 
Nchi kwa sasa ipo kwenye simanzi la huzuni:
Haya ni mambo ya Kiroho
Yameathili mambo mengi pamoja na mpira wa miguu
Imebidi kwanza nirudi kuangalia tunajadili haya jukwaa la dini au la sports, kumbe ni la sports, je kipindi cha nyuma simba na yanga zilivyokua zinafeli kufuzu zilikua zina athirika vipi kiroho? Na sasa unashauri nini ili waweze kucheza na kupata matokeo bila kuathirika kiroho ?
 
Huu ndio wakati wetu katika Ulimwengu wa soka na sio hapo zamani:
Hapo zamani hata mchezo wa mpira wa miguu haukuwepo, uwekezaji haukuwepo:
Timu Nne zote kukosa kuingia robo fainali ni mara ya kwanza toka dunia iumbwe:
Uhamasishaji ulikuwa ziro:
Goli la mama lilipotea
Washabiki walikuwa wachache uwanjani
Timu zote zikafeli:

Hivi hii Yanga ni yakukosa kuingia robo kweli?
Mimi ni Simba ila Yanga ilitakiwa ifike hata nusu fainari kwa ubora wake:

Ndio maana sisi Maaskofu tukaona kuwa Bado Ile Laana ya 29 unatembea:
Ila inaelekea kuisha na mwakani tutafanya vizuri kama tutajirekebisha:
 
"Timu Nne zote kukosa kuingia robo fainali ni mara ya kwanza toka dunia"

Hii sio kweli.

"Hapo zamani hata mchezo wa mpira wa miguu haukuwepo, uwekezaji haukuwepo:"

uwekezaji hata ukiwepo sio sababu za ulazima wa kufuzu tumeona Timu kadhaa zikifeli na uwekezaji ulikuwepo

"Hivi hii Yanga ni yakukosa kuingia robo kweli?
Mimi ni Simba ila Yanga ilitakiwa ifike hata nusu fainari kwa ubora wake:"

Hapa umetumia hisia tu ila kiukweli mchezo wa mpira haupo hivyo.

"Ndio maana sisi Maaskofu tukaona kuwa Bado Ile Laana ya 29 unatembea:
Ila inaelekea kuisha na mwakani tutafanya vizuri kama tutajirekebisha:"

Hapo umetafuta tu sababu ya kutupa lawama kwa jambo ambalo linapaswa kushughulikiwa kimpira kabisa
 
Timu zetu hazikuweza kushinda kimataifa sababu ya Laana ya September 29:

Yale mambo yasijirudie Tena kabisa:
Jeshi lilitumia nguvu kubwa sana kwa raia:
JWTZ linaheshimika lingekuja tu barabarani na kuzuwazuia waandamanaji kwa maji ya kuwasha, mabomu ya mchozi au risasi za miguuni tu:
Watu wanapiga risasi za kichwa hadi kwa raia wapita njia:
Ule ulikuwa uhalifu wa kivita:
NIMEMALIZA
Wewe bure kabisa, yaani watu wavunjwe miguu kisa mtu analazimisha urais kwa nguvu wakati watu hawamtaki na kwa nini watu wafanyiwe uovu wote huo wakati maandamano ni halali kikatiba.
 
Kwa muda sasa nmekuwa nikiombea na kushiriki kwenye michango ya kazi chafu dhidi ya mikia. Kwenda kuwapiga misumali wachezaji wao na wengine kurubuniwa Simba ifanye vibaya.

Nashukuru serikali imekuwa upande wetu sana sisi team ya wananchi kinyume na mikia sc ambao wametelekezwa wameachwa kama wasio na baba mbwa hawa.

But nimeona kumbe kuingia robo fainali si jambo jepesi. Aisee... Sisi mwaka wa pili huu jamaa wamechemka nasi tunachemka nao. Mbona sisi team yetu ni bora kila nyanja? Tunakwama wapi ikiwa matches za ndani tukiwafadhili jamaa tunawachapa 5,6 n.k?

Tunajidanganya sometimes. Hujma zinatuathiri sote. Tumebaki home wote. Pamoja na misaada kibao toka serikalini ambayo tumekuwa tukipata ili Yanga yetu iwe ndiyo team maarufu na bora huku East Afrika. Imekuwa ni bure. Tunajaribu washusha mikia nasi tunashuka nao. Imekuwa kama laana.

Kwa kweli nimekasirika wacha nitoe nyongo. Ushabiki naweka pembeni wacha wa kuja kufoka mje ntawatembezea ukuni mbwa nyie. Sitaki kuremba remba. Mikia wamekuwa wakijitahidi sana. Wametufikisha mbali kimataifa. Sasa tuwaache tusiwafanyie uhuni na hujma.

Tujipange sisi kama sisi na tujipange kikweli kweli si kwa kununua teams pinzani za ligi zituachie tufunge magoli lukuki. Ni uongo kila siku kusema tulikuwa kundi gumu. Simba teams gani kubwa Africa haijawahi cheza nazo kwenye hayo makundi? Walishawai kuwa mpaka wanapiga 5,5 lakini tumeona walipanda kiasi gani kimpira.

Tukubali kuwa fair na tuache siasa mipiran. Na kujipendekeza kusiko na maaana. Nimepasua jipu tayari njoon mtoe povu niwapasua na majicho yenu.
Kwenye Ile list ya manara ya mashabiki wawili wa Tanga wanaojitambua akuongeze na wewe usafi iwe imefika 3.
 
Sikua na lengo la kushinda , nilitaka nijue tu mechanism ya laana inafanyikaje ndani ya matokeo ya mpira , yani hapo ulitakiwa kuwa mwalimu halafu mimi mwanafunzi 🤔
Sitatumia neno laana kama mleta mada alivyosema ila ni wazi mwamko na saikolojia ya hizi timu imeathiriwa sana na siasa za Tanzania kabla, wakati na baada ya uchaguzi.

Mtu kuhusisha mambo yaliyotokea kwenye siasa na performance ya hizi timu msimu huu anaweza asiwe mbali sana na ukweli.
 
Back
Top Bottom