Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,180
- 1,291
. ukichukua kikosi chote cha power dynamoo kiwe chini ya robetino basi hiyo timu itakuwa Gian in africa kupita mamelod Sun down au esparence.Ni tabia ya kittoto sana wanayoonesha wapenzi wa simba eti Robetino hafai.. Mkithubutu kumuachisha kazi Robetino basi mtegemee hata Namungo na geita gold kutokuwa wateja wenu kupata points. kama Yanga wamepata Ngeke la kumpata kocha mwenye kutandaza soka la Ulaya basi hicho kisiwe kigezo cha kumbeza Robetino aliyeongoza vizuri simba mwaka jana klabu bingwa africa.
wapenzi wa simba lazima mjue ya kuwa Power dynamoo sio timu mbovu. Hii timu imejiuliza na kusuka kikosi matata sana ambacho kama ngeke lingekuwa lao basi hata makundini klabu kama al ahly, esparence na memolod sundown wangenyosha miko juu au kusema poo kabla ya dk 90.
Simba kuponea chupuchupu ni sihara nzuri ya uimara wa kocha Robetino kutoruhusu magoli mengi.ukikichukua kikosi kizima cha power dynamoo kukisajili simba chini ya Robetino basi ujue wazi simba itafika klabu bingwa ya dunia fainali na bayen Muchen. SIMBA KUENI NA BUSARA ACHENI UTOTO WA KUMBEZA KOCHA MZURI KAMA ROBETINO!