Simba mwaka Huu wasahau FA na NBC PL. Wasahau kabisa. Tena kwa kumtambulisha Coach Mwingine

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Hapa wameshajiharibia. Nimefurahi sana maana wanaenda mfukuza huyu kocha muda si mrefu. Atabaki tena Mgunda na Matola. Ndo nawaaambia hivyo.

Wachezaji watamnyima ushirikiano. Atabaki peke yake. Wachezaji wengi ni Royal kwa Matola na Mgunda kwa baadhi. Hawajapenda kocha mpya watamuaibisha mbaya.
 
Uwez kuoa mke wa pili kama watoto na mke wa kwanza ajaridhia
 
Wachezaji watamnyima ushirikiano. Atabaki peke yake. Wachezaji wengi ni Royal kwa Matola na Mgunda kwa baadhi. Hawajapenda kocha mpya watamuaibisha mbaya.
Yaani unavyoongea kwa kujiamini utadhani upo kambini kwa mnyama, yaani utadhani wewe ndio mtunza vifaa
 
Hapa wameshajiharibia. Nimefurahi sana maana wanaenda mfukuza huyu kocha muda si mrefu. Atabaki tena Mgunda na Matola. Ndo nawaaambia hivyo.

Wachezaji watamnyima ushirikiano. Atabaki peke yake. Wachezaji wengi ni Royal kwa Matola na Mgunda kwa baadhi. Hawajapenda kocha mpya watamuaibisha mbaya.
Dini inaruhusu kuwa nao hata wanne
 
Simba wamejipiga mtama wao wenyewe, Kama Mgunda alikua anafanya vizuri, kulikua na haraka gani ya kumleta kocha mpya!!
Sisi Yanga mmeturahisishia kutwaa ubingwa.Kinachofuatia ni kuwafunga kwenye Mechi yetu na Kocha anakua amekalia kuti kavu yoyote atakaye mfunga Tena kocha mpya anafukuzwa.
 
Nje ya ushabiki wa Simba na Yanga kiukweli Mgunda ni kocha mzuri na bado Simba haikuhitaji kocha mwingine!!. Timu ilihitaji maboresho ya wachezaji baadhi ya maeneo ili kuwa bora zaidi.
Makocha 3 ndani ya kikosi kimoja nikujenga mnara wa Baberi 😅, Mgunda Kuna watu amewaingiza na kuwaamini lakin huyu nae atakuja na wake hapa songombingo ndipo litaanza... Anachokifanya Simba ndio yanga tumekifanya kwa kumkataa Saido afu tuksainisha Gael!?
 
Hapa wameshajiharibia. Nimefurahi sana maana wanaenda mfukuza huyu kocha muda si mrefu. Atabaki tena Mgunda na Matola. Ndo nawaaambia hivyo.

Wachezaji watamnyima ushirikiano. Atabaki peke yake. Wachezaji wengi ni Royal kwa Matola na Mgunda kwa baadhi. Hawajapenda kocha mpya watamuaibisha mbaya.
Kama timu yako malengo yake ni mashindano ya ndani tu huwezi kuwaelewa Simba.
 
Nje ya ushabiki wa Simba na Yanga kiukweli Mgunda ni kocha mzuri na bado Simba haikuhitaji kocha mwingine!!. Timu ilihitaji maboresho ya wachezaji baadhi ya maeneo ili kuwa bora zaidi.
Makocha 3 ndani ya kikosi kimoja nikujenga mnara wa Baberi 😅, Mgunda Kuna watu amewaingiza na kuwaamini lakin huyu nae atakuja na wake hapa songombingo ndipo litaanza... Anachokifanya Simba ndio yanga tumekifanya kwa kumkataa Saido afu tuksainisha Gael!?
Hapa sikupingi..mi sijafurahi
 
  • Thanks
Reactions: Exy
Hapa wameshajiharibia. Nimefurahi sana maana wanaenda mfukuza huyu kocha muda si mrefu. Atabaki tena Mgunda na Matola. Ndo nawaaambia hivyo.

Wachezaji watamnyima ushirikiano. Atabaki peke yake. Wachezaji wengi ni Royal kwa Matola na Mgunda kwa baadhi. Hawajapenda kocha mpya watamuaibisha mbaya.
Kuweni makini, huko Zanzibar tunaweza kuwapiga goli 10 labda mtolewe mapema maana naona mnatafuta jinsi ya kutukwepa.
 
Ukiona utopolo wanaumia sana juu ya mambo ya simba bas tuko sahihi...
 
Mbona inawauma sana utopolo
Wanafikiria lile pira walilopigiwa na vipers pale taifa mbele ya viongozi wao wakiwa wamevaa madera ya kijani wakachomekwa miko miwili katika siku yao pendwa
 
We mbumbumbu kumbe kuna muda akili inakurudia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ww mkosa Akili na ref..wenye akili ni 2 huko..mbona unacheka 😆 😆 😆 ? Ni maoni yangu ila nipo pamoja na timu yangu...
Nguvu moja
 
Back
Top Bottom