Umejiandikia kinyesi tu jamaa angu[emoji23][emoji23]usichojua ni kwamba timu ya ushindi huwa haibadiliki.
Ndo mana jana kwenye mapinduzi wakaanzisha wale wa kikosi namba mbili,wakaa benchi ili ajulikane nani anasepa.
Hakuna kocha atataka kumuacha chama,phiri wala mzamiru nje.
Na yeye ataangalia video zote za simba ili kuwa na uhakika nani aanze.
Pia anawafahamu vzr,coz walikuwa ni mahasimu wake kwenye kombe la klabu bingwa so uwe na uhakika kuwa alishawachungulia simba na anawafahamu wachezaji wote ubora na udhaifu wao.
Na ndio maana alipofika tu akaandaa mchoro wake,na mbinu zake zipo tayari.