Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hapa wameshajiharibia. Nimefurahi sana maana wanaenda mfukuza huyu kocha muda si mrefu. Atabaki tena Mgunda na Matola. Ndo nawaaambia hivyo.
Wachezaji watamnyima ushirikiano. Atabaki peke yake. Wachezaji wengi ni Royal kwa Matola na Mgunda kwa baadhi. Hawajapenda kocha mpya watamuaibisha mbaya.
Yaani unavyoongea kwa kujiamini utadhani upo kambini kwa mnyama, yaani utadhani wewe ndio mtunza vifaaWachezaji watamnyima ushirikiano. Atabaki peke yake. Wachezaji wengi ni Royal kwa Matola na Mgunda kwa baadhi. Hawajapenda kocha mpya watamuaibisha mbaya.
Kwan uongo hali ndo hio tusubili mda utaongea tu ila naona Kuna watu wanamwonea wivu mgundaYaani unavyoongea kwa kujiamini utadhani upo kambini kwa mnyma, yaani utadhani wewe ndio mtunza vifaa
Dini inaruhusu kuwa nao hata wanneHapa wameshajiharibia. Nimefurahi sana maana wanaenda mfukuza huyu kocha muda si mrefu. Atabaki tena Mgunda na Matola. Ndo nawaaambia hivyo.
Wachezaji watamnyima ushirikiano. Atabaki peke yake. Wachezaji wengi ni Royal kwa Matola na Mgunda kwa baadhi. Hawajapenda kocha mpya watamuaibisha mbaya.
Tukupe muda gani kutimiza unabii wako? Isije ikawa miaka miwili wakati mkataba unaishaKwan uongo hali ndo hio tusubili mda utaongea tu ila naona Kuna watu wanamwonea wivu mgunda
Hata haichukui mdaTukupe muda gani kutimiza unabii wako? Isije ikawa miaka miwili wakati mkataba unaisha
Kuwa specific, isije ikawa akaondoka mwaka 2025, ukaja na hoja kuwa ulisema ni suala la muda tu!. By the way, coaches are hired to be fired!Hata haichukui mda
Kama timu yako malengo yake ni mashindano ya ndani tu huwezi kuwaelewa Simba.Hapa wameshajiharibia. Nimefurahi sana maana wanaenda mfukuza huyu kocha muda si mrefu. Atabaki tena Mgunda na Matola. Ndo nawaaambia hivyo.
Wachezaji watamnyima ushirikiano. Atabaki peke yake. Wachezaji wengi ni Royal kwa Matola na Mgunda kwa baadhi. Hawajapenda kocha mpya watamuaibisha mbaya.
Hapa sikupingi..mi sijafurahiNje ya ushabiki wa Simba na Yanga kiukweli Mgunda ni kocha mzuri na bado Simba haikuhitaji kocha mwingine!!. Timu ilihitaji maboresho ya wachezaji baadhi ya maeneo ili kuwa bora zaidi.
Makocha 3 ndani ya kikosi kimoja nikujenga mnara wa Baberi π , Mgunda Kuna watu amewaingiza na kuwaamini lakin huyu nae atakuja na wake hapa songombingo ndipo litaanza... Anachokifanya Simba ndio yanga tumekifanya kwa kumkataa Saido afu tuksainisha Gael!?
Kuweni makini, huko Zanzibar tunaweza kuwapiga goli 10 labda mtolewe mapema maana naona mnatafuta jinsi ya kutukwepa.Hapa wameshajiharibia. Nimefurahi sana maana wanaenda mfukuza huyu kocha muda si mrefu. Atabaki tena Mgunda na Matola. Ndo nawaaambia hivyo.
Wachezaji watamnyima ushirikiano. Atabaki peke yake. Wachezaji wengi ni Royal kwa Matola na Mgunda kwa baadhi. Hawajapenda kocha mpya watamuaibisha mbaya.
We mbumbumbu kumbe kuna muda akili inakurudia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa sikupingi..mi sijafurahi
Wanafikiria lile pira walilopigiwa na vipers pale taifa mbele ya viongozi wao wakiwa wamevaa madera ya kijani wakachomekwa miko miwili katika siku yao pendwaMbona inawauma sana utopolo
Ww mkosa Akili na ref..wenye akili ni 2 huko..mbona unacheka π π π ? Ni maoni yangu ila nipo pamoja na timu yangu...We mbumbumbu kumbe kuna muda akili inakurudia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]