Simba mwaka Huu wasahau FA na NBC PL. Wasahau kabisa. Tena kwa kumtambulisha Coach Mwingine

Unaumia ukiwa upande gani
 
Mchezaji akileta mgomo anawekwa bench, kuna wachezaji wengi wanataka cheza
 
Gomez + Itimana + Matola 🤔

Ngoja tuone Muda ndo mwamuzi...😷
 
Kama timu yako malengo yake ni mashindano ya ndani tu huwezi kuwaelewa Simba.
Sasa ata kama wamelenga kimataifa wanakwenda na aina gani ya wachezaji waliopo kwenye kikosi? Kumpata kocha ni jambo moja na kuwa na wachezaji bora ili kocha husika afikie malengo yake ni jambo jingine
 
Umejiandikia kinyesi tu jamaa angu[emoji23][emoji23]usichojua ni kwamba timu ya ushindi huwa haibadiliki.

Ndo mana jana kwenye mapinduzi wakaanzisha wale wa kikosi namba mbili,wakaa benchi ili ajulikane nani anasepa.

Hakuna kocha atataka kumuacha chama,phiri wala mzamiru nje.

Na yeye ataangalia video zote za simba ili kuwa na uhakika nani aanze.

Pia anawafahamu vzr,coz walikuwa ni mahasimu wake kwenye kombe la klabu bingwa so uwe na uhakika kuwa alishawachungulia simba na anawafahamu wachezaji wote ubora na udhaifu wao.

Na ndio maana alipofika tu akaandaa mchoro wake,na mbinu zake zipo tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…