Simba na coastal lini?

Simba na coastal lini?

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,976
Reaction score
24,496
Naomba kujua hiyo mechi ya shirikisho inachezwa lini
 
  • Thanks
Reactions: PNC
nacho hicho ni kiporo bora kichache, mikia wa kupigwa tu.
 
Muda huwa unasema vizuri bora usubiri uone
Haaaa haaa. sisi hatusubiri wa mchangani, tunasubiri jumamosi kuwacheki wa kimataifa. karibu Taifa jumamosi uone soka. Yanga daima mbele.... nyuma mwiko😀😀
 
Haaaa haaa. sisi hatusubiri wa mchangani, tunasubiri jumamosi kuwacheki wa kimataifa. karibu Taifa jumamosi uone soka. Yanga daima mbele.... nyuma mwiko😀😀
Nyie kuongea kawaida yenu.waarabu watawafunga mdomo hiyo jumamosi
 
Back
Top Bottom