Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaa haaa. sisi hatusubiri wa mchangani, tunasubiri jumamosi kuwacheki wa kimataifa. karibu Taifa jumamosi uone soka. Yanga daima mbele.... nyuma mwiko😀😀Muda huwa unasema vizuri bora usubiri uone
Kiporo cha kombe la shirikisho????nacho hicho ni kiporo bora kichache, mikia wa kupigwa tu.
ya, kombe la shirikisho. wao tu hawajacheza, timu zingini zishacheza mechi zao za robo fainaliKiporo cha kombe la shirikisho????