Simba na coastal lini?

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,976
Reaction score
24,496
Naomba kujua hiyo mechi ya shirikisho inachezwa lini
 
Reactions: PNC
nacho hicho ni kiporo bora kichache, mikia wa kupigwa tu.
 
Muda huwa unasema vizuri bora usubiri uone
Haaaa haaa. sisi hatusubiri wa mchangani, tunasubiri jumamosi kuwacheki wa kimataifa. karibu Taifa jumamosi uone soka. Yanga daima mbele.... nyuma mwikoπŸ˜€πŸ˜€
 
Haaaa haaa. sisi hatusubiri wa mchangani, tunasubiri jumamosi kuwacheki wa kimataifa. karibu Taifa jumamosi uone soka. Yanga daima mbele.... nyuma mwikoπŸ˜€πŸ˜€
Nyie kuongea kawaida yenu.waarabu watawafunga mdomo hiyo jumamosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…