kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Mashabiki wa simba wana promote jina la mzungu mpaka mimi mwenyewe sasa naona aibu leo nilikuwa zangu FB na soma zangu comment za Wakenya kuhusu uchaguzi wao cha ajabu si nikakutana na comment ya mwana simba eti leta mzungu.
Nikacheki kwanza kichwa cha abari na alicho comment yule jamaa nikashangaa saana ila mwishowe Nikasema wapo kazini!
Cha kuwambia wana simba msiwe na hofu kama dejan ana nyota basi na amini kadiri siku zitakavyo zidi kwenda na ndivyo brand ya leta mzungu itazidi kuwa kubwa.
Ila tabia zetu ninyi za kutaka kujibrand mgongoni kwa wengine acheni.
Mbona mayele wa yanga yeye hakujibrand hivo mnavyo jibrandi kila sehemu watu wanaongeya mambo ya maana una andika leta mzungu