Simba na hii leta mzungu yao imekuwa kero sasa

Simba na hii leta mzungu yao imekuwa kero sasa

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Mashabiki wa simba wana promote jina la mzungu mpaka mimi mwenyewe sasa naona aibu leo nilikuwa zangu FB na soma zangu comment za Wakenya kuhusu uchaguzi wao cha ajabu si nikakutana na comment ya mwana simba eti leta mzungu.

Nikacheki kwanza kichwa cha abari na alicho comment yule jamaa nikashangaa saana ila mwishowe Nikasema wapo kazini!

Cha kuwambia wana simba msiwe na hofu kama dejan ana nyota basi na amini kadiri siku zitakavyo zidi kwenda na ndivyo brand ya leta mzungu itazidi kuwa kubwa.

Ila tabia zetu ninyi za kutaka kujibrand mgongoni kwa wengine acheni.

Mbona mayele wa yanga yeye hakujibrand hivo mnavyo jibrandi kila sehemu watu wanaongeya mambo ya maana una andika leta mzungu
 
Mashabiki wa simba wana promote jina la mzungu mpaka mimi mwenyewe sasa naona aibu leo nilikuwa zangu fb na soma zangu comment za Wakenya kuhusu uchaguzi wao cha ajabu si nikakutana na comment ya mwana simba eti leta mzungu
Nikacheki kwanza kichwa cha abari na alicho comment yule jamaa nikashangaa saana ila mwishowe Nikasema wapo kazini! Cha kuwambia wana simba msiwe na hofu kama dejan ana nyota basi na amini kadiri siku zitakavyo zidi kwenda na ndivyo brand ya leta mzungu itazidi kuwa kubwa
Ila tabia zetu ninyi za kutaka kujibrand mgongoni kwa wengine acheni
Mbona mayele wa yanga yeye hakujibrand hivo mnavyo jibrandi kila sehemu watu wanaongeya mambo ya maana una andika leta mzungu
Una uhakika gani Mzungu hatakuwa Jaja kiufungaji aliyetokea Brazil kuja kuichezea Yanga Bongo?

Inamaana goli 1 ktk mechi 2 tu alizocheza Mzungu ndiyo awe maarufu kuliko Mandonga, si utani huu [emoji848][emoji4]
 
Mashabiki wa simba wana promote jina la mzungu mpaka mimi mwenyewe sasa naona aibu leo nilikuwa zangu FB na soma zangu comment za Wakenya kuhusu uchaguzi wao cha ajabu si nikakutana na comment ya mwana simba eti leta mzungu.

Nikacheki kwanza kichwa cha abari na alicho comment yule jamaa nikashangaa saana ila mwishowe Nikasema wapo kazini!

Cha kuwambia wana simba msiwe na hofu kama dejan ana nyota basi na amini kadiri siku zitakavyo zidi kwenda na ndivyo brand ya leta mzungu itazidi kuwa kubwa.

Ila tabia zetu ninyi za kutaka kujibrand mgongoni kwa wengine acheni.

Mbona mayele wa yanga yeye hakujibrand hivo mnavyo jibrandi kila sehemu watu wanaongeya mambo ya maana una andika leta mzungu
Hivi zinakutosha kweli wewe? Wanaopaisha leta mzungu ni nyie Yanga mlifikiri mnaikejeli Simba kumbe ndiyo mnaifagilia,angalia hata jukwaani nyuzi za let's mzungu zinaanzishwa na kina Nani? Wewe mwenyewe hapa unashiriki kuipaisha lete mzungu. Mti wenye matunda ndiyo hutuiwa mawe.
 
stori yetu wana utopolo ni "lete mjapan wapi Geita Gold". hii "lete mzungu" wamebaki nayo mazuzu ya Makolo FC wakati si tushahama huko kitambo!
 
Wewe ni LIONGO dah! Facebook ya wapi hiyo ulikuwa unatumia miaka hiyo na kwa simu gani?
Facebook imeanzishwa 2OO4 ulaya ila kutufikia sisi huku ilikuwa ni past 2OO7 hivi huyo mtu anaizungumzia kama kitu cha enzi hizo dah 😂😂😂!

Nakumbuka 2004 hadi 2OO6 watu walikuwa wanahangaika na Mig 33 😂😂😂 kwenye nokia zetu pendwa.

Baada ya ios na android kuingia mainstream ndio facebook na whatsapp zikajizolea umaarufu. iOS ilizinduliwa 2007 na android 2008. Blackberry alikuwa moto sana 2010-2012 na BBM yake kabla hajafa kibudu 2022😂
 
Sijui vipofu wameona mwezi!! Mwisho wa siku jamaa ataondoka na hatotamani kurudi, kwangu mimi ni "ubaguzi wa rangi" full stop
 
Back
Top Bottom