Simba na hii leta mzungu yao imekuwa kero sasa

Haya kunyweni sumu mfe kabisa na mimavi yenu kwe sarawili zenu
 

Attachments

  • VID-20220820-WA0009.mp4
    6.2 MB
stori yetu wana utopolo ni "lete mjapan wapi Geita Gold". hii "lete mzungu" wamebaki nayo mazuzu ya Makolo FC wakati si tushahama huko kitambo!
Nyokooo! et mmehama! kwani mmehama kwa kupenda,si mlijua mnatukomoa kibao kimegeuka.
 
2009, 2010 blackberry bold then tulikuwa na nokia 6070 ina infrared tunaunganisha na desktop chogo tuna surf kwa desktop
Sikweli infrared haikuwa na uwezo wa kushare intenet kutoka simu kwenda DESKTOP
na infrared ilikuwa ilikuwa inatumika zaidi ni kutuma data simu kwa simu tena kwa kuzibandanisha yaan simu zigusane
Hakukuwa na DESKTOP yenye uwezo wa HARDWARE ya infrared zaidi tulikuwa tunatumia USB infrared na haikuwa inawork perfect

Nokia baadhi ya simu zllikuwa na uwezo wa kushare internet through CABLE kwa kutumia software ya PC SUITE
 
Wewe ni mkikuyu?
Ukuje kwa Simba usikie iko na kelele mingi "leta muzungu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu lete Mzungu inakukelaje hata mwezi haina,hivi ungeboreka kiasi gani misimu minne hajabeba kombe kila akikosa anajiita bingwa wa kihistoria
na kuanza kufukua virecord vya kuunga
unga baada ya kubeba kombe kaenda kuanzia gari la kulibebea na kombe la
shirikisho mababu wa Yanga wakalivunja kila Chuma sehemu yake
kutokana na kulikosa muda mrefu ni zaidi ya kukalaisha.
 
Internet cafe kaka usikalili ndugu
Bado unaendeleza mauongo yako?
99% ya Watanzania wameanza kujiunga na Facebook kuanzia 2008 na tena ni wachache sana waliojiunga wakati huo account zao bado zipo active kwa sababu walikuwa wakitumia simu za BlackBerry.

Labda utuambie hiyo miaka 2000's specifically unamaanisha mwaka gani maana globally imeanza kutumika 2007
 
umemaliza chief.
 
Imekua kero tena wakati mlianzisha wenyewe hahahh yani imeshakua brand mpk maduka yameandikwa lete mzungu hardware
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Account yako ya FB uliyoitengeneza 1992 ina jina hilihili
Sikumbuki vzr mana serve za FB zililipuliwa na bomu kipindi cha vita ya kwanza ya dunia hvy nlishindwa kuirudisha
 
stori yetu wana utopolo ni "lete mjapan wapi Geita Gold". hii "lete mzungu" wamebaki nayo mazuzu ya Makolo FC wakati si tushahama huko kitambo!
Sasa ulitaka na sisi tuhe kwani sisi geita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…