CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
...na imeweza kusajili wachezaji wafuatao:Simba imeshindwa kusajili wachezaji wafuatao ndani ya Dirisha kubwa 2022-23.
Mimavi FC mtapata tabu sana mwaka huuSimba imeshindwa kusajili wachezaji wafuatao ndani ya Dirisha kubwa 2022-23.
1. Victoria Adebayor.
2. Stephan Azizi Key.
3. Luis Joseph Miquisson.
4.Abdul Suleiman Sopu.
5. LOBIE CESAR MANZOKI.
Na MBAKA SASA Haina mbadala wa kagere.
KAMATI jisahihisheni.
6 ndio TATIZO kabisaaaa
Simba imeshindwa kusajili wachezaji wafuatao ndani ya Dirisha kubwa 2022-23.
1. Victoria Adebayor.
2. Stephan Azizi Key.
3. Luis Joseph Miquisson.
4.Abdul Suleiman Sopu.
5. LOBIE CESAR MANZOKI.
Na MBAKA SASA Haina mbadala wa kagere.
KAMATI jisahihisheni.
6 ndio TATIZO kabisaaaa
Hata bobosi kulikuwa na tetesiMchezaj alieniuma simba kumkosa ni yule mguinea morlaye silla! Bonge la mido yule jamaa kama tungempata bas wakubwa wenzetu huko club bingwa wangeisoma!
Kwahiyo nimeandika kitu nisichokijua?