Simba na kamati ya usajili

Simba na kamati ya usajili

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
8,542
Reaction score
18,340
Simba imeshindwa kusajili wachezaji wafuatao ndani ya Dirisha kubwa 2022-23.

1. Victoria Adebayor.

2. Stephan Azizi Key.

3. Luis Joseph Miquisson.

4.Abdul Suleiman Sopu.

5. LOBIE CESAR MANZOKI.

Na MBAKA SASA Haina mbadala wa kagere.
KAMATI jisahihisheni.

6 ndio TATIZO kabisaaaa
 
Sababu za kufeli madili yote hayo ni "HELA"
(Wamezidiwa)
 
Simba imeshindwa kusajili wachezaji wafuatao ndani ya Dirisha kubwa 2022-23.

1. Victoria Adebayor.

2. Stephan Azizi Key.

3. Luis Joseph Miquisson.

4.Abdul Suleiman Sopu.

5. LOBIE CESAR MANZOKI.

Na MBAKA SASA Haina mbadala wa kagere.
KAMATI jisahihisheni.

6 ndio TATIZO kabisaaaa
Mimavi FC mtapata tabu sana mwaka huu
 
Hapo kwenye namba sita ndio tatizo lilipo, Simba imekuwa ikifungwa kwa kukosa kiungo mwamba mkabaji sio hao wapiga square pass wakina mkude,mzamiru,kanoute na sasa huyo mchezaji wa tm ndogo Akpan.Kesho kama kati atapangwa mkude na Kanoute tutapigwa mapema mno. Nashauri sita apige inonga akisaidiwa aidha na mkude au Kanoute au akpan
Simba imeshindwa kusajili wachezaji wafuatao ndani ya Dirisha kubwa 2022-23.

1. Victoria Adebayor.

2. Stephan Azizi Key.

3. Luis Joseph Miquisson.

4.Abdul Suleiman Sopu.

5. LOBIE CESAR MANZOKI.

Na MBAKA SASA Haina mbadala wa kagere.
KAMATI jisahihisheni.

6 ndio TATIZO kabisaaaa
 
Mchezaj alieniuma simba kumkosa ni yule mguinea morlaye silla! Bonge la mido yule jamaa kama tungempata bas wakubwa wenzetu huko club bingwa wangeisoma!
 
Back
Top Bottom