Simba na kuvaa kote Visit Tanzania ila Wizara ya Maliasili na Utalii inawapa ofa Yanga

Simba na kuvaa kote Visit Tanzania ila Wizara ya Maliasili na Utalii inawapa ofa Yanga

Hawa jamaa safari hii sijui wamekula nini wameshindwa kabisa kudhibiti hisia zao.... Maana naona hata watu ambao sikuwategemea wanaropoka chuki za wazi kabisa.... [emoji1787]
Maumivu ya wivu hayo.
 
Simba hapa wanapaswa wajiongeze. Wapige chini hiyo sijui 'Visit nini nini sijui'. Mtu unakuwa kama mtoto wa kufikia au wa hiari bhana, unafanya jambo hakuna anaye appreciate, akifanya mtoto wa familia anakuwa appreciated.
Shida jina "THE CAFCL QUARTER FINAL CHAMPS KUFA KIUME ROYAL TOUR" litakuwa halijakaa vizuri.
Lakini "THE CAF FINALIST ROYAL TOUR" ina impress na ku attract.
 
KITENDO CHA SIMBA KUWEKA LOGO YA VISIT TANZANIA MBELE YA JEZI NI THAMANI YA

1 BILLION SHILLINGS.

WAMEKATAA MAKAMPUNI WAKAITANGIZA NCHI LKN HAWAKUPONGEZWA



INAUMIZA
Mimi ni Mwana simba na mshabiki mkubwa sana wa simba....ila Sawa tu acha wasiwe appreciated kuweka hiyo "visit Tanzania" kwenye jezi zao kwasababu

1. ile simba ni team ambayo watu wameweka hisa zao wanataka faida aya iweje wewe ulete utaifa eti bure???

2. Aya basi utaifa sio jambo baya basi, Sina imani kama wamefanya kwa nia iliyotakasika kutoka moyoni kulitangaza taifa Bali ni kama kuwafurahisha tu watu flani(kujipendekeza/uchawa) wasifiwe,waonekane wanajali....binafsi Mimi ni muumini wa ile Sera ya FIFA ya usichanganye mpira na siasa japokuwa FIFA wenyewe kuna muda wanakuwa na double standards kwenye hii sera yao

Binafsi kuna majambo yakishachanganywa mie napoteza radha nayo
 
Back
Top Bottom