Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Miye mwananchi mkuuNa wakina Boko na Kibudenga?
asa jamani na sisi si tunawapa feisal au 🤣Kilichobaki yanga wapewe nchi sasaView attachment 2647340
Maumivu ya wivu hayo.Hawa jamaa safari hii sijui wamekula nini wameshindwa kabisa kudhibiti hisia zao.... Maana naona hata watu ambao sikuwategemea wanaropoka chuki za wazi kabisa.... [emoji1787]
Hatari Sana aiseeMaumivu ya wivu hayo.
Shida jina "THE CAFCL QUARTER FINAL CHAMPS KUFA KIUME ROYAL TOUR" litakuwa halijakaa vizuri.Simba hapa wanapaswa wajiongeze. Wapige chini hiyo sijui 'Visit nini nini sijui'. Mtu unakuwa kama mtoto wa kufikia au wa hiari bhana, unafanya jambo hakuna anaye appreciate, akifanya mtoto wa familia anakuwa appreciated.
Mpira ni mchezo wa wazi,2023/2024 haipo mbali
Miye mwananchiIko karibu sana kuendelea kukumbatia vibabu vyenu kama Onyango
Tuendelee na mambo ya Simba na Yanga (mambo ya kipuuzi kabisa) tukuja kushtuka tayari bandari ya Dar es salaam itakuwa umeenda. Kutawala wapuuzi raha sana, wanajua mahitaji yeti ni nini hivyo kuwapa urahisi wa kutuhadaa.Kilichobaki yanga wapewe nchi sasaView attachment 2647340
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] thubutuuuuuMwaka tunafika,inshallah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ipiiii??Peweni sasa hiyo nafasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleniiiiiiiMsimu huu 2023/2024 ndo tunaenda kufyekelea rekodi zenu zote
Ndyoo kwa wakubwa wenzetuuu.Huko si mnasema kwa wakubwa wenzenu au umesahau
Mimi ni Mwana simba na mshabiki mkubwa sana wa simba....ila Sawa tu acha wasiwe appreciated kuweka hiyo "visit Tanzania" kwenye jezi zao kwasababuKITENDO CHA SIMBA KUWEKA LOGO YA VISIT TANZANIA MBELE YA JEZI NI THAMANI YA
1 BILLION SHILLINGS.
WAMEKATAA MAKAMPUNI WAKAITANGIZA NCHI LKN HAWAKUPONGEZWA
INAUMIZA