Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
- Thread starter
- #41
Sawa mheshimiwaSawa mwenye akili za Zahera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mheshimiwaSawa mwenye akili za Zahera
Na club bingwa QF je ???Uchebe hataki kamati ya Ulozi ya kumfunga Yanga hapo January. Akajibiwa kuwa ile misimu miwili aliyochukua Ubingwa asidhani kuwa ni mchango wake hela za kuhonga timu pinzani na marefa ndio zimeleta Ubingwa.
Wanao unawadai gharama za kuishi kwako?Kile Kiwanja cha MO kule Bunju ambapo baadae akidai gharama zake mkishindwa kulipa anakigeuza kuwa Uwanja wa Cricket?
Udimguze Zidane kabisa, Madrid ipo vizur saivi tofauti kabisa na fikra zakoMwambusi kama Zidane, alifikiri ule upepo wa wakati Mbeya city inapanda ungempitia! Uchebe na mikia wana visa vyao ambavyo labda sie hatuvijui! Kawapa ubingwa, kawafikisha robo fainali klabu bingwa Afrika na mpaka sasa wanaongoza ligi, afu wamemtimua!