Mwambusi kama Zidane, alifikiri ule upepo wa wakati Mbeya city inapanda ungempitia! Uchebe na mikia wana visa vyao ambavyo labda sie hatuvijui! Kawapa ubingwa, kawafikisha robo fainali klabu bingwa Afrika na mpaka sasa wanaongoza ligi, afu wamemtimua!