Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
By the way Simba ni waswahili cjui ulifkr kwenda ulaya watakuwa Wazungu?
Tena yananukaa!! Harufu hadi kwenye simuHii tabia ya kumwagiana maji tena machafu asili yake ni wapi na ina maana gani?
Au watu wanaiga tu bila kujua hayo?!
Asili yake msimbaziHii tabia ya kumwagiana maji tena machafu asili yake ni wapi na ina maana gani?
Au watu wanaiga tu bila kujua hayo?!
Asili yake jeshin kaka...tena sio maji2 na doso juuHii tabia ya kumwagiana maji tena machafu asili yake ni wapi na ina maana gani?
Au watu wanaiga tu bila kujua hayo?!
sijui nani aliianzisha. Ila ukinimwagia mimi tope haijalishi kuwa sipendi huu upuuzi, ikifika muda wako nitalipa kisasi kwa kukumwagia maji machafu ya bata waliyoyachezea.Hii tabia ya kumwagiana maji tena machafu asili yake ni wapi na ina maana gani?
Au watu wanaiga tu bila kujua hayo?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kale katimu kavibubu wapo ubungo maji wanasubiria malori yawashushie moro
Mkuu doso ni nini?Asili yake jeshin kaka...tena sio maji2 na doso juu
Kumbe kummwagia maji mtu ni ushamba mie nilikua sijuiUshamba mzigo
Kumbe kummwagia maji mtu ni ushamba mie nilikua sijui