Simba na tabia za kiswahili mpaka nje ya nchi

Simba na tabia za kiswahili mpaka nje ya nchi

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
23D5B69D-A22B-4310-9F9B-798B1C50B4BF.jpeg
 
Hii tabia ya kumwagiana maji tena machafu asili yake ni wapi na ina maana gani?
Au watu wanaiga tu bila kujua hayo?!
 
Kale katimu kavibubu wapo ubungo maji wanasubiria malori yawashushie moro
 
Hii tabia ya kumwagiana maji tena machafu asili yake ni wapi na ina maana gani?
Au watu wanaiga tu bila kujua hayo?!
sijui nani aliianzisha. Ila ukinimwagia mimi tope haijalishi kuwa sipendi huu upuuzi, ikifika muda wako nitalipa kisasi kwa kukumwagia maji machafu ya bata waliyoyachezea.
 
Kuna birthday yangu nakumbuka niliambiwa nimwagie shahawa. Sikukosa tageti.
 
VyuraFC Kwa Wivu bhana!!
Wao Wanaifatilia Simba Huko Uturuki Kuliko Wanasimba Wenyewe.
Hii yote Ni Dalili ya Kuwa Kwenye Genge lao la Jangwani Hawana Cha Kufatilia.
 
Back
Top Bottom