sio matop matope, ila walimmwagia vumbi/udongo halafu wakammwagia maji inamaana hujaona makopo ya maji hapo. Au siku hizi ukinunua maji ya uhai unakupa matope na si maji (mfano lakini)Maji yenyewe matope ushamba mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio matop matope, ila walimmwagia vumbi/udongo halafu wakammwagia maji inamaana hujaona makopo ya maji hapo. Au siku hizi ukinunua maji ya uhai unakupa matope na si maji (mfano lakini)Maji yenyewe matope ushamba mno
sio matop matope, ila walimmwagia vumbi/udongo halafu wakammwagia maji inamaana hujaona makopo ya maji hapo. Au siku hizi ukinunua maji ya uhai unakupa matope na si maji (mfano lakini)
Mkuu wanawake wa mikoani mnakua na hasira sana na wanaume wa dar sijui tumewakosea nini. Lakini issue ya kumwagiana maji mbona ipo mikoa yote.Mkuu hata ukitetea aje huo ni ushamba tu,na wanaume wa dar mnaupenda sana huo mchezo,unakuta mtu mna bifu anafata hata matope au maji ya choon anaongezea hapo kisingIzio birthday mtaua wenye presha,pumu na magonjwa ya moyo.
Najibu mfano ushasema nikinunua hio inamaanisha dukani ee so ntapewa maji ila kama nna shida na mayope ipo sehemu rasmi wanapouza mchanga ntaenda na maji kuyachanganya nipate matope
Mkuu wanawake wa mikoani mnakua na hasira sana na wanaume wa dar sijui tumewakosea nini. Lakini issue ya kumwagiana maji mbona ipo mikoa yote.
Nimeishi Iringa, mbeya, moro dom na mwanza pote utaratibu upo. Hadi watu wakiwa kwenye mabaa wanamwagiana maji mixer bia inakuaje unatusema watu wa dar. Ninauhakika hata wewe kama ni mshabidi wa mambo ya b.day yashakukuta lakini mimi sinaga ujinga huu maana kama kuzaliwa tayari na siku ya kizaliwa huwa haijirudii maana inakua na moments zake tofauti kabisa.
Nakupenda mkuu (mwanamke wa mkoani) aka Numbisa
Basi yaishe mkuu ila mchango wako wote ni uongo team ya simba wote ni wa kuja yaani ni wanaume wa mikoani na nchi nyingine za afrika ila wanaojua kucheza mpira, na haijaniuma ila nimetoa mtazamo wangu tofauti na si kweli kama wachangiaji wote wamekubaliana na mtoa mada ama na wewe kwamba huo ni ushamba labda uelezee maana ya neno ushamba umelitumiaje.Kubali ukatae hii tabia ya kumwagiana maji ni ya wanaume wa dar mfano mzuri hao wachezaji wa simba.
Mkuu naona wewe ndo umepanic uzi mzima wewe tu ndo imekuuma kuona watu wanapondea kumwagiana maji,matope siku ya birthday. Huo ni ushamba sio ujanja
Sijawahi mwagiwa maji mie najielewa na kujitambua.
Huko ulipoishi nami nimeishi pia ila wanaomwagiwa maji ni wasiojielewa,kama mtu hujielewi unaishi kwa hisani za watu au unaandaa party kwa pesa za michango maji yanakuhusu ila kama unajielewa unajisimamia hakuna wa kukumwagia maji
Hii tabia ya kumwagiana maji tena machafu asili yake ni wapi na ina maana gani?
Au watu wanaiga tu bila kujua hayo?!