Lakini kumbuka hajawai kuichezea Simba katika mashindano rasmi. So Simba wapo on the safe side. And by the way, mchezaji kutoka nchi yotote anaweza kuchezea klabu yoyote duniani. So hata kama hakuwa raia wa Tanzania sio kusa kuchezea klabu ya Tanzania.
Pia hata kwenye team za taifa kuna sheria zake. Mchezaji hata kama ni raia wa nchi fulani anaweza kuiwakilisha nchi nyingine (kwa nchi zenye kuruhusu uraia pacha). Kuna vigezo tu kuwa kabla ya kuiwakilisha nchi nyingine asiwe amecheza kuzidi asilimia kadhaa ya mechi za team ya taifa analotaka kuhama.
Nadhani unafahamu mtu kama Diego Costa ni Mbrazil lakini amechezea Spain, Deco Brazil kacheza Ureno. Mifano ipo mingi.
So cha muhimu ni kuwa kama Kibu ameshakuwa declared au kupewa urai wa Tanzania basi klabu ipo upande salama na Taifa Stars ipo upande salama. Zaidi soma hapo kuhusu eligibility ya mchezaji.
In line with its commitment to promote greater transparency in its regulatory operations, FIFA has published its first Commentary on the Rules Governing Eligibility to Play for Representative Teams.
www.fifa.com