Simba na TFF msimchezeshe Kibu Denis mechi za kimataifa kuepuka kujutia

Benin leo watatupa uraia wake!Stars 3-Benin 1
 
Kama hayo ni maagizo, mama kapigwa changa la macho na walewale walioleta mtafaruku kwa kusogeza muda wa mechi ya simba na yanga kutoka saa 10 jioni hadi 12 jioni na kusababisha mechi kuahiirishwa na watu kupata hasara ya muda na fedha zao.
 
Kwani Simba kuchezesha mchezaji asiye raia wa Tanzania ni kosa?
 
Mechi yetu dhidi ya Benin sikuona thamani ya Kibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…